Joe Doe
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 484
- 918
Sasa unataka wote twende kwenye jiwe la msingi? Au wote tuongelee habari za jiwe la msingi ama?habari za ugaidi ndio zinapendwa sana na CHADEMA na ndio wamejaa huku kwenye mitandao wanazisambaza kwa kasi sana....leo Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi wa reli hakuna anaejali....CHADEMA wako busy na habari za watu kutekwa! CHADEMA ni janga la Taifa
Jiwe la msingi hata lisipoongelewa litawekwa tu, kuwekwa kwake hakuhusiani kama tumeiongelea ama la, ILA hizi mambo za kutekwa tekwa zinatugusa moja kwa moja kwa sasa kuliko hilo jiwe la msingi.