Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Kutokupatikana taarifa sahihi za watekaji ndio sababu za kutokuchukuliwa kwa hatua uzitakazo. Aliyetekwa na kuwaona watekaji hamtaji mtu wewe uliyekuwa nyumbani na mwenza wako mkila raha ndio unataja watekaji. Basi uwe na sifa ya kusema kweli lakini nimuongo wa kukinai.
Haya jana umeambiwa ndani ya bunge ambapo mtu anakinga anasema hii ni taarifa isiyo rasmi kuwa Ben kapotezwa na tiss. Bado ukafanyie kazi taarifa isiyo rasmi nani atakuelewa.
Ramadhan Igwondu alichukuliwa hatua gani kwa kumteka na kumtesa Dr. Uli?
 
Reli ni ni mojawapo ya njia kuzuwia njaa kwa muda mrefu. Ni uwekezaji utaloliingizia taifa pesa. Kumbuka hilo.
Haya bwana yangu macho lkn nakwambia tutakua na hii reli lkn umaskini kwa mtanzania utaongezeka maradufu kwa sababu hakuna mipango halisi ya kuuondoa.
Kabla ya reli kuna kitu kimerukwa na kwasababu hiyo faida itakayopatika ni ndogo kuliko unavyofikiri.
Muda utasema
 
Swali zuri sana.

Kuna kila sababu kuwa haiwezekani serikali ikafanya vitisho vya namna tunavyoshuudia kwa kupenda au kutaka bali kuna kila uwezekano kuwa kuna watu wanaweza ku twist ionekane hivyo kwa faida yao.

Ni mambo ya kufikiria kwa kina.

Kuna wakati nilisoma kuwa Lowassa aliajiri katika kambi yake mkuu mmoja wa intelijensia mstaafu. Tufikiri.

Historia ya Lowassa inatuonesha si mtu wa kushindwa.
Muache Lowasa nje ya hili dada FF... kweli unaona EL anaweza husika zaidu ya DAB? Unajilisha upepo tu...... na unapo sema serikali unamaanisha nini? Is DAB not part of the Govnt?
 
Ni vyema kabisa kuwa umeusoma huu utumbo na ukapata wasaa wa kuujibu, kuja kunisaidia kuvuana nguo, nnauhakika hautokaa muda mrefu utarudi tena kuuchungulia au kuchangia mjadala.
ninarudi kukuchungulia na kukusikitikia rafiki yangu, hama huko usijekutekwa tukose shombo zako hapa jukwaani!
 
...
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
...
Faiza; wakati natafakari ushauri wako huo, niliyakumbuka maneno hayo hapo chini.

"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality."; Desmond Tutu.
 
Kuna kitu kinaitwa moles kwenye intelijensia.
Come on wake up FaizaFoxy, hii inaitwa state sponsored terrorism...jamaa baada ya kushindwa kuiendesha nchi, kaamua kuvitumia vyombo vya dola kuzima upinzani. Baadhi ya watu kupewa madaraka yanayozidi uwezo wao, matokeo ndiyo haya tunayashuhudia. Kama hatutachukua hatua tutalia sana.
 
Unawajua,
Sema unawafichia siri sababu ni jamaa zako, au unawaogopa wasije wakakugaidi na wewe


Hapana, sijuwi wala siwezi kumfichia siri gaidi.

Kuwaogopa nawaogopa kweli.
 
Bi/ mkubwa tumekuelewa vizuri ila hawa magaidi wasipo acha wenyewe huu ugaidi kwa asili ya mazingira ya nchi yetu yalivyo utaibuka ugaidi ambao utawaangamiza hawa magaidi wa anzilishi watajikuta siku moja wanatafuta pakukimbilia maana siyo siri magaidi yatakayo ibuka yatakuwa na roho mbaya sana sana maana tunajuwa asili ya jamii zetu wala haiitaji kwenda shule kujua kwamba moto ukiwaka na rundo hili la wasiyo na ajira akuna wa kuuzima
 
Swali zuri sana.

Kuna kila sababu kuwa haiwezekani serikali ikafanya vitisho vya namna tunavyoshuudia kwa kupenda au kutaka bali kuna kila uwezekano kuwa kuna watu wanaweza ku twist ionekane hivyo kwa faida yao.

Ni mambo ya kufikiria kwa kina.

Kuna wakati nilisoma kuwa Lowassa aliajiri katika kambi yake mkuu mmoja wa intelijensia mstaafu. Tufikiri.

Historia ya Lowassa inatuonesha si mtu wa kushindwa.
Unataka kuanza kupakazia...
 
Ugaidi huu sio wa kuukalia kimya. Serikali ina dhamana ya kutulinda raia wake (na ndio maana nchi za wenzetu wanapambana nao kivita). Serikali inawajibika kutulinda raia na ndio maana inamiliki vyombo vya usalama na majeshi so lazima tupaze sauti pale tunapoona haki yetu ya kulindwa dhidi ya vitendo hivi inapokwa. Kukaa kimya sio suluhisho. Hapa ni serikali ndio inapaswa kureact kwa makelel yetu la sivyo tukikaa kimya havitakoma.
 
Dada Faiza, kuna viwango tofauti vya ugaidi na pia kuna malengo tofauti ya ugaidi.

Hapa kwetu wanachofanya sio ugaidi halisi (terrorism) bali "rule by terror". Hilo la kwanza ni la moja kwa moja (direct) lakini hilo la pili ni kupitia kwa (indirectly). Ila iwe la kwanza au la pili yote ni mabaya, tena mabaya mno pale yanapotendwa na waliopaswa kutulinda na ambao sasa bila aibu wala huruma wanatutesa kwa kutumia kodi zetu.

"In this present crisis, Government is not the solution, Government is the problem" Ronald Reagan 21/01/1981
 
habari za ugaidi ndio zinapendwa sana na CHADEMA na ndio wamejaa huku kwenye mitandao wanazisambaza kwa kasi sana....leo Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi wa reli hakuna anaejali....CHADEMA wako busy na habari za watu kutekwa! CHADEMA ni janga la Taifa
Baba kumsomesha mwanae pamoja na kumuhumudumia kila kitu mtoto na mama yake sio habari, baba kuacha kufanya hayo hiyo ndio habari. Huwezi kusifiwa kwa kufanya majukumu yako, utalaumiwa utakapo acha kutekeleza majukumu yako. Umeelewa?
Halafu, kama Chadema wanafanya mambo ya ugaidi and then serikali ya ccm ikae kimya then maanake yake ccm ni dhaifu sana, haiwezi kuwalinda raia wake, again hi nayo pia ni habari
 
ULIETOA POST HII, NINAWASIWASI NA KUA HATA WEWE NI WAKILI WA UGAIDI. Mfano:: Awe ametekwa mkeo,, mwanao,, au mzazi wako. Tukikuambia ukae kimya utakubali?????? Unaongea jambo usiloweza kulifanya mwenyewe??? KWA MAELEZO YAKO HAYO, UNAMAANISHA KUA SERIKALI IMESHA IMESHASHINDWA NA HAO MAGAIDI..... JE, NA ALIEMTOLEA NAPE BASTOLA NAE ALIKUA GAIDI????? MAANA MKUU WA JESHI LA POLISI WILAYA YA KINONDONI ALIKUA PALEPALE, NA HAKUMCHUKULIA HATUA YOYOTE.
KWA HOJA YAKO HII,, NINAWASIWASI KUA WEWE UNAFIKIRIA KWAKUTUMIA MAKALIO.
 
Lengo ni kupigana na ugaidi kwa kudhoofisha matakwa yao.
Ni kama popobawa, "akikupitia usipotangaza anarudi tena na tena mpaka utangaze kuwa umeshughulikiwa na popobawa"
Ukweli sharti usemwe. Huwezi kukaa kimya ispokuwa kama makazi yako ni pale makumbusho.
 
Back
Top Bottom