[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejibu viizuri sanaSherehe sio mapigano dada!
Unashindwa kuwakaribisha wageni chakula chetu pendwa kwenye sherehe, wageni wengine wanatoka mbali na wanapenda kufahamu utamaduni wetu.Waandaaji wa shughuli mnafeli wapi, wekeni vyakula vya asili tujifaharishe na tamaduni zetu kivyetu vyetu.
Ninadhani ni kwasababu hatujawahi kukosa kabisa chakula. Kuna watu hawali utumbo kwakua una harufu. Utumbo ukitengenezwa roast kama ile ya maini unapendeza sana.ni kwasababu jamii ya kitz ina amini ugali ni chakula cha watu fukara. hakifai kuwepo kwenye dhifa mbalimbali.
na mimi naungana na wanao amini hivyo.ni kweli ugali ni chakula cha mafukara, period
Ukweli mchungu, wengi wanakula ugali kwa sababu ya uwezo mdogo au umasikini, jalo siyo woteni kwasababu jamii ya kitz ina amini ugali ni chakula cha watu fukara. hakifai kuwepo kwenye dhifa mbalimbali.
na mimi naungana na wanao amini hivyo.ni kweli ugali ni chakula cha mafukara, period
Kuna harusi ya Wanigeria, mpishi wa ugali alikua pale na gas cooker, wanaotaka ugali unapikwa wanapewa na mlenda wa bamia ulikuwepo pia michuzi yote samaki, kuku, utumbo nk.Nakumbuka Mrisho Mpoto kwenye sherehe ya ndoa yake watu walikula ugali na mamboga mboga na keki ilikuwa boga