Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ndo vikivyokufikisha hapo ukawa mtu wa juu usiye na adabu!!!Ugali na wali ni vyakula vya watu wa chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo vikivyokufikisha hapo ukawa mtu wa juu usiye na adabu!!!Ugali na wali ni vyakula vya watu wa chini
Sky katika maisha yangu nimewahi kushuhudia maramoja tu sherehe iliyopikwa ugali Mlenda,maziwa mtindi na nyama na waalikwa waligoma kula wakataka kuondoka ,Ikabidi mama shughuli afunge geti la eneo hilo na kulazimisha waalikwa ama wale ugali huo au waubebe!Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali.
Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe, sifahamu inawezekana vipi. Sherehe nyingi unakuta pilau, biriani, ndizi, viazi, pasta nk, lakini si ugali.
Kama ni mechanism ya ulaji wa ugali, tunaweza kuweka huduma ya watu kunawa mikono katika sherehe ili waweze kukata matonge kwa mikono. Kuna wanaoweza kula ugali na kisu na umma.
View attachment 2037155
We Mhaya acha majivuno ! Hujui kula unajua Kujaza tumbo mkuuUgali na wali ni vyakula vya watu wa chini
Ninadhani inategemea na wageni unawaalika. Wanaouona ugali ni chakula cha masikini au wanakula ugali kwakua hawana chaguo lingine watategemea kula pilau na biriani.Sky katika maisha yangu nimewahi kushuhudia maramoja tu sherehe iliyopikwa ugali Mlenda,maziwa mtindi na nyama na waalikwa waligoma kula wakataka kuondoka ,Ikabidi mama shughuli afunge geti la eneo hilo na kulazimisha waalikwa ama wale ugali huo au waubebe!
Wabongo wengi wasivyopenda ugali yani wanaula sababu ya umaskini tu ila ingekuwa option kila mmoja angekula biriani!Sky katika maisha yangu nimewahi kushuhudia maramoja tu sherehe iliyopikwa ugali Mlenda,maziwa mtindi na nyama na waalikwa waligoma kula wakataka kuondoka ,Ikabidi mama shughuli afunge geti la eneo hilo na kulazimisha waalikwa ama wale ugali huo au waubebe!
Mkuu binafsi Ni mpenzi wa ugali mseto ,ugaali ambao ukiula hutaacha kuuulizia Mara kwa Mara hata Kama huna mboga unaenda bila kukwama kooniWabongo wengi wasivyopenda ugali yani wanaula sababu ya umaskini tu ila ingekuwa option kila mmoja angekula biriani!
Wanaokula ugali ni wachache na kwa mapenzi yao tu sababu vyakula laini wamevichoka.
Hayo yote ni mazao ya kukosa uchumi mzee dada,Ninadhani ni kwasababu hatujawahi kukosa kabisa chakula. Kuna watu hawali utumbo kwakua una harufu. Utumbo ukitengenezwa roast kama ile ya maini unapendeza sana.
Labda jela, shule mbona nguna ilikuwa poa, au ww ndo wale wachochezi wa migomo???Huko jela na shule unasongwa mradi ugali tu, sio ule ugali uliosongwa ukasongeka ugali mzuri usio na mabuja mabuja. Ugali unaupishi wake mkuu .
Hizo ulizotaja ndio mboga za kulia ugali kwa kweliHapa ndio kamati ya vinywaji na chakula zinapofail hasa ukute sherehe ina maji mengi, Mimi personally napenda ugali hasa wenye mchanganyiko wa dona, ngano, mtama na muhogo hapo ni hatari sana kuna mboga mlenda, dagaa au nyama choma.
Ona sasa inavyochagua mbogaKukiwa na ugali tutapika bamia na nyanya chungu, msusa, kisamvu na nkhoko.
Mi nakula vyakula vingi,inategemea nna hamu na nini sina shida..Si kuna varieties, msisahau na mihogo ya kuchemsha bima kwenda poa tu au mihogo ya kuchemsha nayo ni umasikini.
Wewe utakua wa mboga saba, wenzako wanakula ugali na ndimu ukipata pilipili unashukuru.Mi nakula vyakula vingi,inategemea nna hamu na nini sina shida..
Mihogo kwa wengi lazima wataipiga vita
Iwe ya kuchemsha ama ya ftari
Wkt ni chakula kizuri sana tu
Mihogo ina afadhali kuliko ugali haichagui sana
Ugali ni vile unachagua sana mboga