Ugali ni chakula ambacho hakijawahi tengwa mahsusi kwenye meza kuu za Wafalme na Masultani, kinahusishwa na uduni wa kiuchumi

Ni kwa kuwa vimetamalaki kila upand, ila vikiadimika vyakula pendwa hivyo huonekana keki.
Mimi namshkur muumba kwa uwepo wake.
Kuna mwaka Msanii maarudu toka U.S.A TI alikuja hapa Bongo akasema kuwa "Anatuonea wivu bara la Afrika sababu tumejaliwa ardhi yenye rutuba nzuri na kutuwezesha kula vyakula vya asili tofauti na wao ambapo kule kwao ni mtu mwenye mawe ya kutosha ndiye atayeweza kununua vyakula vya asili la sivyo wao hula vyakula vya viwandani tu iliyojawa kemikali kibao, pia huwa wanakitahidi kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kunywa maji mengi ili kuepusha madhara yatokanayo na vyakula vyenye kemikali/sumu mwilini."

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta eti ni midume halafu imekomaa eti na inang'ang'aniza kabisa hapa wanaume wenzao tuache kula ugali, kwahiyo tule chips au!? Swine

Ogopa sana propaganda... yaani baada ya kuona wamewashindwa kivile watakuja kivingine na vingine na vingine tena mpaka wahakikishe kuwa wanawadhoofisha kiafya akili na mwili
 
Siyo kwel kabisa kuw ugali chakula cha maskini,hao wafalme hawal ugal lakn huenda wamewah kula mahind ya kuchemsha ishu ni kwamba hawajajua tu kuw mahind yanaweza tumika kutengeneza ugal
Alaf huk kanda ya ziwa wanapenda ugal kuliko vyakula vingine siyo maskin na huo wali huk upo mwingi sana mchele kilo saiz ni mia tisa mpaka alfu moja wanauwezo kula wal kila siku lakin ukiwapa wal ni lazima upike na ugal wanakula ugar kwanza alaf ndy wanakula na wal
Kwaiy siyo kwel kwamba wanaotumia ugal ni kiashiria kimojawapo cha umaskin wa kushindwa kutumia vyakula vingine
 
Majamaa ya mitandaoni yana upuuzi sana, mpaka sasa hivi huko kanda ya ziwa ndipo panapoongoza kuwepo kwa wasomi wengi ikiwa Maprofesa zaidi ya 500 wote hutokea huko hapa TZ.

Sasa kuna mawakala wa shetwani wanashuhudia uwongo hapa kuwa ugali unaduwaza ubongo daaaah...!

Kweli kuishi kwingi duniani ni kushuhudia vituko vingi [emoji23]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Usukumani siku ya birthday mtu anasongewa ugali kilo bila mboga ndo inatumika kama keki.
Yan ni wasukuma pekee ndo wanaheshimu ugali.
 
Wala chips utawajua tu Yan thinking capacity iko low Sana mwili haujengwi kihivo Kama unavofikiria Kwan umeambiwa ugali n wamahindi tu kuna ugali wa mtama ngano na ufuta mihogo wew endelea na zege lako ukila ugali wa Dona ukipiga na vyakula vingine vyote hivo vinajenga mwili
 
Hilo lipo wazi. Ugali ni chakula cha hovyo sana. Kwanza ugali si asili ya chakula cha Africa. Africa nafaka ya asili ni ulezi. Na ulezi nafikiri ni nafaka ya kwanza kwa ubora wa lishe. Ndiyo maana unga wa lishe una ulezi. Ulezi una chuma cha kutosha, chuma ambacho ni muhimu katika damu.

Bora unywe bakuli ya uji wa ulezi ulale kuliko ugali.
 
Hao wahaya..chakula chao kikuu ni ndizi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kupenda ugali wa mahindi nakula kwa sababu ni hakuna option..ila soon ntaupiga chini...mahindi ni chakula cha mifugo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tumevamiwa na wala chips zege
 
Ugali nyama choma
Ugali kambale
Ugali samak mkubwa na mboga chukuchuku ya majani
Ugali rost maini ya kutosha
Si viacha kamwe !!!!! Achana na wafalme!!!!
Nimesahau ugali utumbo rosti!!!
Nikimaliza natupia safari au serengeti
NB ( ugali uwe wa dona la mahindi mapya utupie na makopa humo)
Sitaaacha ugali aisee samahani
 
Hunishindi mm !!! Napenda dona mahindi yawe mapya halafu na nyama choma !!!! Au kambale mkubwa acha bosi!!!
 
Ugali unadumaza akili. sio chakula bora kwa ubongo na ufahamu.

Tafuna mahindi kidogo kwa kupata wanga kiasi na sio utumie unga wa mahindi kama chakula. Tungekuwa hatuli ugali tungekuwa mbali sana!
Wewe waikumbuka vyema tafiti[emoji23][emoji23] unadumaza haswaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ufahamu wako ni mdogo sana.Ni wazi hujui kwa nini wanaokula ugali wanakula ugali, na pia hujui nutritive value ya vyakula ulivyo vitaja.They all contain carbohydrate, so any food you eat among those is fine.Na labda nikupe elimu, kila zao lina ecological zone yake, where it can be cultivated.Also note that kula chakula fulani is mostly dictated by culture.

Finally, dharau hizi sio nzuri, and uncalled for.
 
Hata kina Daniel na meshaki na abernego wote walikula ugali ndipo wakaappear mbele ya mfalme
 
Vipi kuhusu chipsi zege? Limo, halimo kwenye umaalumu?

Chips zege iwekwe carrots, hoho, pilipili ndefu, kitunguu maji, sausage/fish fillet (katakata sana size ya njegere) then fry it up kwa pamoja!!!

Warning [emoji732]️ hii msosi kula at least not more than 4 times kwa mwaka , it’s almost a Junk food!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…