Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Kuna mwaka Msanii maarudu toka U.S.A TI alikuja hapa Bongo akasema kuwa "Anatuonea wivu bara la Afrika sababu tumejaliwa ardhi yenye rutuba nzuri na kutuwezesha kula vyakula vya asili tofauti na wao ambapo kule kwao ni mtu mwenye mawe ya kutosha ndiye atayeweza kununua vyakula vya asili la sivyo wao hula vyakula vya viwandani tu iliyojawa kemikali kibao, pia huwa wanakitahidi kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kunywa maji mengi ili kuepusha madhara yatokanayo na vyakula vyenye kemikali/sumu mwilini."Ni kwa kuwa vimetamalaki kila upand, ila vikiadimika vyakula pendwa hivyo huonekana keki.
Mimi namshkur muumba kwa uwepo wake.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app