Ugali ni mboga. Tatizo la wengi unakuta mboga kiduchu na ugali mwingi. Kwa wale waliofika Ulaya siku hizi hii mikate mweupe ni kama inataka kufutika kabisa. Mkate inayolika sana ni hii inayotengenezwa na nafaka za aina nyingine kama rye. Ni kama kula ugali wa mtama tu. Hata sandwich nyingi wanatumia hii mikate. Sisi waafrika tunatakiwa tudumishe kula ugali wa vitu kama mtama, mawele, ulezi nk. Tunachotakiwa kuboresha ni mboga tu iwe nyingi na aina tofauti.Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?
Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.
Kama hujui sema sijui sio sipendi.
Nimeshangaa sana wanaobeza ugali na kujiuliza mashali kibao! Wakati Enzi zetu ulikuwa na majina kibaoWakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?
Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.
Kama hujui sema sijui sio sipendi.
Tawile mtaalamu.Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?
Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.
Kama hujui sema sijui sio sipendi.
Mkuu kuna hii ya Dona kuchanganya na mtama,Muhogo,Ngano ni mtamu na laini!Ugali ni mboga. Tatizo la wengi unakuta mboga kiduchu na ugali mwingi. Kwa wale waliofika Ulaya siku hizi hii mikate mweupe ni kama inataka kufutika kabisa. Mkate inayolika sana ni hii inayotengenezwa na nafaka za aina nyingine kama rye. Ni kama kula ugali wa mtama tu. Hata sandwich nyingi wanatumia hii mikate. Sisi waafrika tunatakiwa tudumishe kula ugali wa vitu kama mtama, mawele, ulezi nk. Tunachotakiwa kuboresha ni mboga tu iwe nyingi na aina tofauti.
HahahahaView attachment 3389348ugali uheshimiwe...
Ugali SamakiUgali ni mboga. Tatizo la wengi unakuta mboga kiduchu na ugali mwingi. Kwa wale waliofika Ulaya siku hizi hii mikate mweupe ni kama inataka kufutika kabisa. Mkate inayolika sana ni hii inayotengenezwa na nafaka za aina nyingine kama rye. Ni kama kula ugali wa mtama tu. Hata sandwich nyingi wanatumia hii mikate. Sisi waafrika tunatakiwa tudumishe kula ugali wa vitu kama mtama, mawele, ulezi nk. Tunachotakiwa kuboresha ni mboga tu iwe nyingi na aina tofauti.
Nakubali na naunga mkono. Ubunifu wa aina hiyo ndiyo unatakiwa badala ya kudharau ugali. Wazungu walitufanya tuchukie vitu vyetu lakini ukienda kwao bado wana utamaduni wao.Mkuu kuna hii ya Dona kuchanganya na mtama,Muhogo,Ngano ni mtamu na laini!
BhusimaMajina ni mengi sana hio Nguna ndio imeshika headline na Bondo, mtu anadharau Ugali kweli?
Huu Ugali Kisamvu au Ugali na Mchunga umepiga mix humo humo au Ugali Maboga?View attachment 3389348ugali uheshimiwe...