pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,611
- 3,049
Kuna program nadhani inafadhiliwa na USAID wanaongeza vitamins kwenye unga wa mahindi, kupunguza utapia mlo, ila ukila ugali unadanganya akili na tumbo ukiunyong'onyesha mwili iwapo ugali ni mwingi kuliko mbogaKuna Member moja humu kasema kuna Matapeli wengi kuhusu ulaji wa Ugali. Nami nakubaliana naye. Ugali ni step food ya familia nyingi. Pamoja na changamoto zake za vitamins kama zipo tuache huu utapeli wa kwamba siyo chakula.. ni kufuru kwa baadhi ya familia.