Ndo kizazi tulivhonacho cha zero brain.ugali ni chakula kikuu cha waafrika hasa kwa yale makabila yanayochapa kazi kama sukuma,ngoni,nyamwezi,hehe,kurya NK hao uliwaambia wale walio watakushangaa sana.Lkn kwa ndugu zetu wa kihaya,zaramo,nyakyusa,Mweta,makua,NK wao ugali ni RB.nimeishi pale bukoba miaka kadhaa ugali umewashinda kabisa.nikitaka ugali nilikuwa naenda pale polisi mess na kidogo Manyema hoteli lkn sehemu nyingine ugali haupikwi kabisa.kwa kizazi chetu sisi ugali ni kila kitu wali ni kwa makabila yale hoi bin taabani.sasa kuna watu ugali wanasema ati ni chakula cha wanyama hiyo tayari ni shida.