Ugali umetukuza usidharauliwe na mtu yeyote

Majina ni mengi sana hio Nguna ndio imeshika headline na Bondo, mtu anadharau Ugali kweli?
Nimegundua kuupika ni tatizo kwa vijana wa Sasa,kuna Jamaa alipikiwa ugali, Sehemu akabaki ameduwaa!Anausifia ni unga Gani huu?!!Mama yake hajawahi mpikia Vile!
 
Ndo kizazi tulivhonacho cha zero brain.ugali ni chakula kikuu cha waafrika hasa kwa yale makabila yanayochapa kazi kama sukuma,ngoni,nyamwezi,hehe,kurya NK hao uliwaambia wale walio watakushangaa sana.Lkn kwa ndugu zetu wa kihaya,zaramo,nyakyusa,Mweta,makua,NK wao ugali ni RB.nimeishi pale bukoba miaka kadhaa ugali umewashinda kabisa.nikitaka ugali nilikuwa naenda pale polisi mess na kidogo Manyema hoteli lkn sehemu nyingine ugali haupikwi kabisa.kwa kizazi chetu sisi ugali ni kila kitu wali ni kwa makabila yale hoi bin taabani.sasa kuna watu ugali wanasema ati ni chakula cha wanyama hiyo tayari ni shida.
 
Nimesikitika sana mkuu
 
Acha kudharau chakula kilichokufikisha ulipo, no offence yes defence
Wapi nimedharau? Nimesema outcome ya ugali ni national embecility ambayo masisiemu yanaenjoy kila siku. So take or leave it,

Kunahitahijika research kujua why wabongo wana lowest IQ kwa region nzima kama haipo related to ugali
 
Naunga mkono hoja
 
Wapi nimedharau? Nimesema outcome ya ugali ni national embecility ambayo masisiemu yanaenjoy kila siku. So take or leave it,

Kunahitahijika research kujua why wabongo wana lowest IQ kwa region nzima kama haipo related to ugali
Sio kweli wewe hio research ya low IQ umefanya mwaka gani na umefanya wapi kwa muda gani?
 
Ugali hasa wa sembe ni chakula cha hovyo, ni basi tu mazoea kwa sababu ndio tumekuwa tukiula. Rye, mtama na mawele ni vyakula vyenye virutubisho vingi sana na nyuzinyuzi(fibre) tofauti na sembe.
 
Nakubali na naunga mkono. Ubunifu wa aina hiyo ndiyo unatakiwa badala ya kudharau ugali. Wazungu walitufanya tuchukie vitu vyetu lakini ukienda kwao bado wana utamaduni wao.
Asilia90Ya mikoa yetu ugali ndio chakula kikuu, Ndizi na viazi ni kidogo sana,kama Mbeya, Iringa, Njombe ni mikoa inalima sana viazi,ila chips Huwa wanakula Wageni sanasana .
 
ugali ni chakula cha ng'ombe na nguruwe ujuaji wa kiafrika ukatufanya tubadili kua mlo wa binadamu , hapo zamani hakujawahi kuwepo mahindi afrika

KAZI NI KIPIMO CHA UTU
 
Wanapata hela ambayo mie nahonga kwa siku moja ndogo mno afu wanakuja kusema ugali sio chakula
Keyboard worriors tu hao mkuu, unakuta kapakata sahani ya ugali na mikabeji anatype "ugali ni chakula cha ng'ombe".
#Slaying
 
Asilia90Ya mikoa yetu ugali ndio chakula kikuu, Ndizi na viazi ni kidogo sana,kama Mbeya, Iringa, Njombe ni mikoa inalima sana viazi,ila chips Huwa wanakula Wageni sanasana .
Tusidharau chakula wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…