Ugali umetukuza usidharauliwe na mtu yeyote

Kuna program nadhani inafadhiliwa na USAID wanaongeza vitamins kwenye unga wa mahindi, kupunguza utapia mlo, ila ukila ugali unadanganya akili na tumbo ukiunyong'onyesha mwili iwapo ugali ni mwingi kuliko mboga
 
Ndizi zilitoka Asia, ngano na viazi mviringo vilitoka ulaya, muhogo ulitoka south America, mahindi America nk. Kwa hiyo almost vyote ni vya kuja
 
Wapi nimedharau? Nimesema outcome ya ugali ni national embecility ambayo masisiemu yanaenjoy kila siku. So take or leave it,

Kunahitahijika research kujua why wabongo wana lowest IQ kwa region nzima kama haipo related to ugali
Kwani wewe kipanga aka genius ulikuwa una kula nini ?
 
Kweli we ni zero minus
 
Nguna... Tena ukiongezamo na mtama, asee ukishiba unaanza kutamani vita upigane.

Na iheshimiwe ndo chanzo cha nishati nguvu ya mwili hapa tizi, uwe mjuzi wa kubadiri mboga tu, na mboga rost

Mie wali huwa naulia hamu tu, Naonaga kama kiburudisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…