Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

Hatari Sana mkuu hakuna chakula kilicho salama Kama kinapitia kiwandani mkuu , mchele wenyewe unapitia huko huko kwenye mashine, ukichunguza Sana utakua unakula mihogo tuu, lakoni hata hiyo mihogo umeshawahi jiuliza kwa nn kisu kinachomenyea and kinaisha makali ule ubutu unasabishwa na nn, ni kumuomba tu mungu mkuu atuepushe na athali ya hivyo vitu
 
Upo sahihi kabisa

Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.

Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Kula matunda bila kumenya uishi miaka 130. Ila jiandae kutishwa na jogoo awikapo
 
Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.
Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Wewe umeanzia mashine ya kusaga, Mimi naanzia jiwe la kusaga kijijini mwetu, bado hapo mpaka sasa; jiwe hili limelika katikati na sasa linafanana na sahani ya mizani ya kupimia watoto wachanga hospitali! Kilichosagika kimekwenda wapi? Jibu, tumboni. Mwisho mkataze mkeo kutumia steelwire kusafishia sufuria huwa zinabakisha chembechembe kwenye sufuria.
YOU ONLY LIVE TWICE. Usijali.
 
Hatari Sana mkuu hakuna chakula kilicho salama Kama kinapitia kiwandani mkuu , mchele wenyewe unapitia huko huko kwenye mashine, ukichunguza Sana utakua unakula mihogo tuu, lakoni hata hiyo mihogo umeshawahi jiuliza kwa nn kisu kinachomenyea and kinaisha makali ule ubutu unasabishwa na nn, ni kumuomba tu mungu mkuu atuepushe na athali ya hivyo vitu
Unga wa muhogo vipi?
 
Juzi nilimsikiliza mtangazaji akiongelea madhara ya soda na jana kaongelea Juice na hakutoa mchepuko kwa matumizi hayo kama ilivyo kawaida yake huwa anatoa HITS tu.

Kwa ufupi kila kitu nowdays tunaambiwa hakifai -Akili kichwani na Mungu unayemwamini akupe ijara njema.
 
Back
Top Bottom