Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

hukawii kuwa mchuna ngozi wewe


Mkuu asante kwa maelezo yako, duh hii dunia ukitaka ufaidi vizuri jilimie chakula chako mwenyewe
 
Tubadilike jamani kwanin panya atuzid akili sembe sio ishu unaweza kula pale tu dona inapokosekana kabisa mahali ulipo
 
Mwishoni mwa mwaka jana nilikuwa Dar, katika pitapita zangu kwa ndugu na jamaa kwingi nikakuta ugali dona, kwenye hotel pia ugali dona, nikamuuliza bodyguard wangu ninae mtumia nikiwa dar akasema kwake ni mwaka wa tatu sasa hawajui unga wa sembe, niliporudi nyumbani nikasema nikawaambia stock ya unga wa sembe ikiisha hakuna kuagiza tena, nikafanya taratibu niwe natumiwa unga wa dona, ila nimeambiwa hautakiwa kuwa na stock kubwa kwa kuwa unaharibika haraka kwa kuwa upo hai.
 
safi sana,............mkiyajua hayo heri ninyi mkiyatenda
 
Wataalamu wanashauri watu wale sembe ukifuatilia wao unaweza kuwakuta hawali sembe mfno mwingine wale wanaozalisha kuku na mayai ya kisasa watakwambia bidhaa zao ni bora sana ambapo wao wanatumia mayai ya kienyeji sasa maana yake nini so gonga dona ndo mpango mzima
 

Jf in his highest level. umesomeka mkuu ngoja tuwasubilie wataalam zaidi wamwagike hapa, mimi napendelea zaidi ugali wa muogo au mixer na mtama tunaomba mdadavuwe pia.
 
Last edited by a moderator:

mikono na vidole vyangu vyote juu
 
Jf in his highest level. umesomeka mkuu ngoja tuwasubilie wataalam zaidi wamwagike hapa, mimi napendelea zaidi ugali wa muogo au mixer na mtama tunaomba mdadavuwe pia.

the means justify the end
 
Ukila sembe kwa wingi usiku,ukiamka asubuhi mdomo mchungu.Sembe siyo nzuri!!
 
kuna mtaalamu mmoja aliwahi kusema kwamba inapokuja suala la lishe, panya ana akili kuliko binadamu maana panya hula kiini cha mahindi (dona) na kutupa makapi (sembe) ilihali binadamu hutupa kiini na kula makapi

Upo sahihi kabisa mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…