Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

Ugali wa dona sasa washamiri kwa kasi Dar es Salaam

Ugali doña na mboga ya chukuchuku au samaki mchemsho na Kisamvu kwa mbali,,,acha tu mkuu unakula mpaka unasikia MWILINI kweli kuna kitu kimeingia.
 
Nikutahadharishe tu kuwa sio mara zote dona ni nzuri, hasa nchi zetu za kitropiki. Uki-google kidogo tu utaona kuwa zaidi ya 80% ya mahindi yaliyopo sokoni yamekuwa contaminated na fungi ambao hutoa sumu zinazoitwa mycotoxins. Sumu hizi hususani zile za aflatoxins hazina rangi wala harufu, lakini zina madhara makubwa sana hasa kusababisha saratani ya ini. Ingawa madhara ya papo kwa hapo sio mengi (mfano walipokufa watu zaidi ya 150 Kenya mwaka 2004), madhara ya muda mrefu ndio ndio makubwa na hatari.
Zaidi ya kansa ya ini, sumu hizi husababisha kudumaa (kwa watoto), na upungufu wa kinga za mwili unakopelekea mhusika kupata maambukizo ya magonjwa kama malaria, kuharisha, typhoid, mafua na mengine mara kwa mara. Kwa wamama wajawazito kunakuwa na hatari ya kujifungua watoto wenye ulemavu au kuharibika kabisa kwa mimba.
Kwa bahati mbaya, fungi humea zaidi kwenye kiini na ganda la nje la mbegu ya mahindi, hivyo kuwaweka watu wanaokula chakula kinachotokana na mahindi ambayo hayajakobolewa katika hatari kubwa zaidi. Hapo ndipo linapokuwepo tatizo kwa kula dona, kwani imethibitishwa (huko Benin, Kenya na kwingine), kuwa kuosha na kukoboa mahindi kunaweza kupunguza hadi kiasi cha 60% ya mycotoxins zilizopo...

Pamoja na faida ya kuwa na protini na fibre kwenye dona, hasara ya kuwepo kwa mycotoxins inafanya wataalamu washauri watu wale sembe zaidi na kupata protini, vitamini na fibres kwenye vyakula vingine kama maharage, kunde na mboga za majani...

cc MziziMkavu Matola miss neddy Joseph
Ni Mara chache sana kutokea mycotoxins kuwa katika kiwango kikubwa kwenye mahindi Kama unavyosema ilitokea huko Kenya na vyakula vingi tu vinakuwa na viwango vya mycotoxins Kama vile wheat,rice, barley,oats and rye lakini ni kwa kiwango cha chini sana ambacho mwili wa binadamu kwa kupitia ini inaweza kuondoa hizo sumu bila shida na mycotoxins kwenye mahindi haiwezi kuondolewa kwa kukoboa, ikitokea mahindi yakawa highly contaminated na mycotoxins hayawezi kuliwa na binadamu! Cha msingi ikiwezekana mahindi yangekuwa yanapimwa kabla hayajamfikia mlaji na wakulima kufundishwa jinsi ya kuhifadhi mahindi/mazao kwani kinachosababisha mycotoxins ni mazingira yanapohifadhiwa na sababu kuu ni mbili temperature na humidity .
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ingekuwa poa ukitoa references. Ninavyojua mimi high percentage ya mahindi sokoni yana contamination higher than the accepted 20ppb...
 
ugali doña na mboga ya chukuchuku au samaki mchemsho na kisamvu kwa mbali,,,acha tu mkuu unakula mpaka unasikia mwilini kweli kuna kitu kimeingia.

jana nilitupia na nyama choma hadi nikalala
 
mkuu ingekuwa poa ukitoa references. Ninavyojua mimi high percentage ya mahindi sokoni yana contamination higher than the accepted 20ppb...

tuko pamoja
 
Mkuu ingekuwa poa ukitoa references. Ninavyojua mimi high percentage ya mahindi sokoni yana contamination higher than the accepted 20ppb...

Itakuwa zoezi gumu kidogo kwasababu siwezi kufanya attachment kwa kutumia simu, ila fahamu 20ppb isn't harmful to your body na nazungumza hivyo kwasababu nilishapata kuwa exposed na fungi na kupimwa mycotoxins gani nilikuwa exposed to, najua kiwango gani ambacho kila mwanadamu anacho kwenye mwili ambacho hakina madhara mkuu, huwezi kuondoa mycotoxins kwa kukoboa kwasababu ni sumu (toxins) na Kama nilivyokwisha kusema level ya mycotoxins kwenye mahindi inatofautiana kutegemea na mazingira uliohifadhi hayo mahindi. Kumbuka mycotoxins ni secondary metabolites produced by fungi ili fungi waote wanahitaji vitu viwili temperature and humidity. We all have mycotoxins in our body but at very low level ambayo sio harmful. Hata ukila mkate, maandazi na vyakula vingine vingi tu vina kiasi kidogo cha mycotoxins ambayo your liver can get rid of it na pia nafikiri unafahamu kuna aina nyingi za mycotoxins.
 
Kweli watu siku hizi tunakula dona saana, ni mzuri ukilinganisha na sembe lakini bado tunatakiwa kuwa waangalifu wa ugali wa mahindi!
 
Itakuwa zoezi gumu kidogo kwasababu siwezi kufanya attachment kwa kutumia simu, ila fahamu 20ppb isn't harmful to your body na nazungumza hivyo kwasababu nilishapata kuwa exposed na fungi na kupimwa mycotoxins gani nilikuwa exposed to, najua kiwango gani ambacho kila mwanadamu anacho kwenye mwili ambacho hakina madhara mkuu, huwezi kuondoa mycotoxins kwa kukoboa kwasababu ni sumu (toxins) na Kama nilivyokwisha kusema level ya mycotoxins kwenye mahindi inatofautiana kutegemea na mazingira uliohifadhi hayo mahindi. Kumbuka mycotoxins ni secondary metabolites produced by fungi ili fungi waote wanahitaji vitu viwili temperature and humidity. We all have mycotoxins in our body but at very low level ambayo sio harmful. Hata ukila mkate, maandazi na vyakula vingine vingi tu vina kiasi kidogo cha mycotoxins ambayo your liver can get rid of it na pia nafikiri unafahamu kuna aina nyingi za mycotoxins.

Acceptable daily intake (ADI) ya aflatoxin A1 ni 10 ppb. Above that you are exposing yourself to dangerous levels. Mahindi, karanga na nafaka nyingine often zinakuwa na more than that level. Hatari kubwa inakuwa kwa watoto wanaokua ambao maini yao hayana uwezo wa kudeal na hizo levels
 
Mkuu asante kwa maelezo yako, duh hii dunia ukitaka ufaidi vizuri jilimie chakula chako mwenyewe

dona zuri uliandae wewe mwenyewe maana utayosha mahidi kwa uzuri zaidi utayaanika ndipo uyasage maana hata sembe nzuri pia uiandae wewe mwenyewe maana hizi za madukani wengi wana koboa na kusaga bila hata kusha kama ilivyi kawaida kitu ambacho hakuna linalo fanyika la maana
 
Back
Top Bottom