Uganda: Chameleone aungana na Bobi Wine kumng’oa Museveni

Hiyo combination ya Bob Wine +Chameleon +Besigya itakuwa ni mkuki wa sumu kwa M7
Sana tu. Bobi Wine kwanza ana political base kubwa sana, ukichanganya na mashabiki wa Jose Chameleone na Besigye kama ataamua kuwaunga mkono basi Uganda patakua hapakaliki kabisa.

Museveni kama ana busara angeamua kukaa kando na kuwapisha, kwa sababu kwa nguvu waliyonayo, ataakua kuwazima kwakutumia polisi na jeshi
 
Na akirogwa kutumia majeshi na police ndiyo hapo watu wa nasubiria ili wafanye ya kwao.
 
Nimesema na nitasema tena kwa sasa Africa siasa ni harakati unatakiwa tu ujenge sera na hoja nzuri utapata wafuasi wala huitaji wanachama wa kwenye daftari.
Africa ndiyo iko kwenye renaissance watawala wetu wajinga hawataki kuuona ukweli huu.

Mpaka sasa vyama vilivyodumu madarakani kwa miaka mingi vimebaki sita tu.
ANC, CCM SWAPO, FRELIMO, ZANU PF na NRM.

Kuna kila dalili ZANU PF, CCM na NRM maisha yake yako ukingoni sana sidhani kama vitavuka miaka mitano ijayo nikiwa salama.
 
M7 kesha sema kaingia kwa nyundo na kutoka labda iwe kwa nyundo.
Mseven muda wowote atakufa kwa uzee na chama chake kitamfuata kaburini.

Hata ccm vijana wa nyerere wakiisha na yenyewe itajifia kifo cha Mende.

Mpaka sasa ccm haina tena political agenda zaidi ya kupoint madaraja na barabara.

CCM haiunganishwi tena kwa itikadi bali maslahi ya mwanachama mmoja mmoja hivyo wanachama wako pamoja kwa kuzingatia maslahi yao kwa kiwango gani yako secured tu.
 
Aisee umetoa point kubwa sana na yawazi kwa wenye macho.
 
Haaa huyu na chameleone na bebe cool miaka miwili nyuma walikwua wanatukanwa sana na waganda kwamba wanamuunga mkono Museveni na Museveni ilikuwa inadaiwa kwamba anamtumia sana chameleon kweli mambo yamebadirika ila bob wine ana nguvu sana asipomng'oa Museveni basi Museveni atakuwa kaiba kura sana
 
Tunahitaji kuwa kitu kimoja ili tutengeneze nguvu ya kuviondoa hivyo vyama madarakani.
 
Kweli kabisa na M7 analijua hilo, na alifanya kosa sana kumuumiza Bob wine hadi akapata nafasi ya kwenda USA kwenye matibabu.

Baada ya kurudi Uganda amezidi kujiamini sana huku M7 akizidi kumuogopa sana Bob wine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…