Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Jaja anaondoka nadhani, ila hii movement ya bob wine Museveni na polisi wameua watu wengi sana kuisupress hata wasanii wadogo na dereva wake bob wine wakidhani gari limembeba boby.Kweli kabisa na M7 analijua hilo, na alifanya kosa sana kumuumiza Bob wine hadi akapata nafasi ya kwenda USA kwenye matibabu.
Baada ya kurudi Uganda amezidi kujiamini sana huku M7 akizidi kumuogopa sana Bob wine.