Jaja anaondoka nadhani, ila hii movement ya bob wine Museveni na polisi wameua watu wengi sana kuisupress hata wasanii wadogo na dereva wake bob wine wakidhani gari limembeba boby.Kweli kabisa na M7 analijua hilo, na alifanya kosa sana kumuumiza Bob wine hadi akapata nafasi ya kwenda USA kwenye matibabu.
Baada ya kurudi Uganda amezidi kujiamini sana huku M7 akizidi kumuogopa sana Bob wine.
Post ya kwanza kunichekesha leo!Hao ndio wasanii wanaojitambua wasanii wa Tz kesho wanaungana uwanja wa taifa kwenda kuwakatikia viuno kina polepole.
Hayo ni mawazo yako mkuu na tunayaheshimu. Ila cha msingi tunategemea kushuhudia anguko kuu la M 7Bob Wine ni strategist mzuri sana. Kashakwepa mishale ya kutosha ya uzandiki kutoka kwa M7. Hata chama anachotembelea saiv alikinunua akakiweka mfukoni! Walivyozuia chama cha awali ndio akatoka na cha mfukoni! Ikawa chenga ya mwili kwa M7.. ila kama anaungana na Mayanje(Kinyonga) bhas ajue ndio kinyonga kweli kweli. Lazima atachomoa betri in the end na mzee M7 atashinda kiulaini. Those two (Chameleon&Bob Wine) can`t archive anything better together. Watazinguana tu na ndio mpango uko hapo.
Watavuna walicho kipanda na hizo ndiyo siasa za AfrikaMimi naionea huruma sana Familia yake na mseveni ikiwa tu siku ataamka na kukuta sio Rais tena au Mungu akimpenda zaidi, Wataishi kwa tabu sana kuanzia mke wake ambae ni Waziri sasa mpaka yule mwanae ambae ni top Millitary officers
Scenario ya Boby Wine iko relatively similar na ile ya Lissu, wote baada ya kurejea wamekuwa ni mwiba hatari kwa watawala.Kweli kabisa na M7 analijua hilo, na alifanya kosa sana kumuumiza Bob wine hadi akapata nafasi ya kwenda USA kwenye matibabu.
Baada ya kurudi Uganda amezidi kujiamini sana huku M7 akizidi kumuogopa sana Bob wine.
Na watawala wanajua kuwa hao jamaa huko walikotoka ndiyo kwa wenye mikono mirefu, macho makali, akili kubwa, maamuzi magumu!Scenario ya Boby Wine iko relatively similar na ile ya Lissu, wote baada ya kurejea wamekuwa ni mwiba hatari kwa watawala.
Kama ana akili timamu aachane tu na siasa (ingawa anahofia kushitakiwa kwa human rights abuse). Ushauri wangu ni kwamba, arekebishe sheria kama alivyofanya Nkurunziza, azuie kushtakiwa akiondoka madarakani, ndipo aondoke kwa amani!Na akirogwa kutumia majeshi na police ndiyo hapo watu wa nasubiria ili wafanye ya kwao
Nadhani hata yeye moyoni hilo ashalifikiria,Kama ana akili timamu aachane tu na siasa (ingawa anahofia kushitakiwa kwa human rights abuse). Ushauri wangu ni kwamba, arekebishe sheria kama alivyofanya Nkurunziza, azuie kushtakiwa akiondoka madarakani, ndipo aondoke kwa amani!
Mwaka huu mlishindwa mipango yenu hovu ya kuwapandikiza watu wenu ndani ya cdm.Kwa hiyo kwa sasa boby wine anatwangamaji kwenye kinu,M7 kutoka madarakani na chama chake ni mpaka afe?
Kuhusu CCM hata wakati Edlow ni mgombea mlisema maneno kama haya,lakini mwisho wa siku mkakimbilia mitandaoni kuanza kashafa kwa serikali ya JPM.
ccm haitavuka miaka 10 ijayo ikiwa haiAisee umetoa point kubwa sana na yawazi kwa wenye macho
🤣 🤣 🤣 ila wapambe sasa. Ndio shida.Nadhani hata yeye moyoni hilo ashalifikiria,
Hata wanaccm wenyewe wameshachokana humo ndani.Watanzania wamesha ichoka sana
Mbele ya safari itakuwa ni kuwalazimisha kuwaachia ngaziHata wanaccm wenyewe wameshachokana humo ndani.
Kilichochelewesha ccm kusambaratika vipande vipande ni Magufuli kuzuia siasa miaka hii mitano tu.
Watu wamelazimika kuwa ccm hata kama hawataki kuwa huko.
Yale mafuriko ya watia nia kama kungekuwa na siasa huru yangacha athari kubwa sana kwa ccm