Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,262
Reaction score
12,855
Serikali ya uganda imekubali kupokea wakimbizi takribani 2000 kutoka nchini Afaghanisitani kufuatia anguko la serikali eliokuepo madarakani na wana mgambo wa kitalibani kuchukua madaraka ya nchi hiyo.

Je uganda ina uwezo wa kuhifadhi hao watu au ni mpango wa Marikani, kupunguza wakimbizi nchini mwake?

Je kuna haja ya Tanzania kufuata hizo dollar pia za Marikani kwa kuwakaribisha wakimbizi hao Faghanistan waje nchini au watageuka kua hatari kwa usalama wa nchi?

Disaster preparedness minister says Uganda is expected to host about 2,000 refugees from Afghanistan with 500 expected to arrive today.

bit.ly/3CSvTSM | #VisionUpdates

Screenshot_20210817-113716_Facebook.jpg
 
Uganda ina uwezo huo. Mpaka sasa inahifadhi wakimbizi wengi sana wa Congo DRC, Burundi, South Sudan na Somalia. Mpaka mwaka 2019, Uganda ilikuwa inahifadhi wakimbizi 1,223,003. Tanzania hadi mwaka 2020 tulikuwa na wakimbizi 258,280 tu. Kwa hio wametupita kwa mbali sana kwenye kuhifadhi wenye shida za ukaazi.
 
Uganda ina uwezo huo. Mpaka sasa inahifadhi wakimbizi wengi sana wa Congo DRC, Burundi, South Sudan na Somalia. Mpaka mwaka 2019, Uganda ilikuwa inahifadhi wakimbizi 1,223,003. Tanzania hadi mwaka 2020 tulikuwa na wakimbizi 258,280 tu. Kwa hio wametupita kwa mbali sana kwenye kuhifadhi wenye shida za ukaazi.
Uwezo inao au inajilazilamisha ili kupata pesa ya UN/US, mbona waganda wengi wanateseka kupata basics za maisha je au wakimbizi ndo watapata?
 
tukaribishe akina mama, wadada, watoto, wanaume wazee sana, wanaume wamakamo na vijana wabaki wapambane na Wataliban hamna namna....
Unataka wakaribshe wazee, wa kazi gani? Bora kuleta vijana iliwaje wafanye kazi kama wale wenzao wa Rujewa kule Mbarali mkoani Mbeya (Wabaluchi).
 
tukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani...
Unataka waje waliwe kimasihara
 
tukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani.
Kwahiyo unamanisha akili za vijana wetu ni huwaza ngono, pisi kali totozi....ndo akiri za kijana wakitanzania, sio uchumu au katiba mpya?
 
Wachukue needy people...na wataalamu..ni ajabu tunashindwa ata na Rwanda kwenye kutumia fursa kama hizo
 
Kwanini mataifa ya kiarabu yasiwachukue mbona yapo mengi sana

Hawa wawahifadhi ndugu zao "UISLAM NI DINI YA KHAKI NA AMANI"
Tena hao watu nijirani sanaa wapi na wapi uganda na Afaghanisitani, sema tu M7 anapenda sanaa dili za pesa
 
Back
Top Bottom