Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Unasafiriaha watu maelf ya mails wakati wamezungukwa na nchi kibaaaao za.kiarabu ambao watawlewana lugha.
Roho za waarabu sio nzuri japo na jinadi kuwa waislamu, ila ki vitendo sio waislamu wazuri bora hao waswahili wetu japo na wenyewe unafiki mwingi tu ila angalau
 
Roho za waarabu sio nzuri japo na jinadi kuwa waislamu, ila ki vitendo sio waislamu wazuri bora hao waswahili wetu japo na wenyewe unafiki mwingi tu ila angalau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa unatafuta vita vya dunia wakija
 
Serikali ya uganda imekubali kupokea wakimbizi takribani 2000 kutoka nchini Afaghanisitani kufuatia anguko la serikali eliokuepo madarakani na wana mgambo wa kitalibani kuchukua madaraka ya nchi hiyo.

Je uganda ina uwezo wa kuhifadhi hao watu au ni mpango wa Marikani, kupunguza wakimbizi nchini mwake?

Je kuna haja ya Tanzania kufuata hizo dollar pia za Marikani kwa kuwakaribisha wakimbizi hao Faghanistan waje nchini au watageuka kua hatari kwa usalama wa nchi?

Disaster preparedness minister says Uganda is expected to host about 2,000 refugees from Afghanistan with 500 expected to arrive today.

bit.ly/3CSvTSM | #VisionUpdates

Wawalete na bongo tupate kazi na mademu
 
Kama na wakimbizi wa kike wapo ipo haja na sisi Tanzania tumbembeleze mama naye awapokee wakimbizi kutoka huko ila kutoa fursa kwetu sisi vijana kuweza kuwaoa na kuwazalia watoto.
 
Sasa naona uganda inataka kutengeneza pisi kali zenye mchanganyiko bara la asia [emoji2]

Maana sehemu ambayo kutakuwa na wakimbizi ijalishi mda gani lazima kutakuwa na muingiliano mkubwa wa kijamii,biashara na n.k.

Tanzania ikijitolea tunaomba wapelekwe tabora au singida na sisi tutengeneze pisi kali
IMG_8482.jpg
 
Tuleteeni huku mkoa wa Mara tuwanyooshe hao watoto wazuri wa ki Afghanistan [emoji39][emoji39][emoji39]
 
tukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni fursa hawa wakimbizi waletwe kwa wingi hapa bongo ili vidume waingie kazini tuanze kufyatua pisi kali tuwapite Rwanda.

Maana hawa wadangaji wetu kukweli hatuna faida nao ujuaji na ujeuri ni mwingi hatuna hamu nao. Tena tungebadilishana na talebani waje wawachukue......
 
Sasa naona uganda inataka kutengeneza pisi kali zenye mchanganyiko bara la asia [emoji2]

Maana sehemu ambayo kutakuwa na wakimbizi ijalishi mda gani lazima kutakuwa na muingiliano mkubwa wa kijamii,biashara na n.k.

Tanzania ikijitolea tunaomba wapelekwe tabora au singida na sisi tutengeneze pisi kali
View attachment 1895638

Dunia haiko fair kabisa, wakati wengine wanakula bata pale Marina-Dubai, Burj Harifa, NYC, Hongkong, Maldives nk kuna vijamaa vinaleta shida kiasi cha binadamu wenzao kuwa kama mbuzi.... Ona hawa masikini wameswagwa kama Mbuzi kwenye hilo li C-27 bila shaka..wanasafirishwa kwenda kubwagwa mahala na kuachwa hapo....huku vijamaa vingine na miili dhaifu vikitanua mjini na A47 begani....
 
CDM mngekuwa na akili mngepelekea wale masela wa Talebani hizi dangaji mjini humu zikazae na Watalebani mngeweza kupata species jeuri ambayo ikisema inaandamana hairudi nyuma na ikishika bunduki hakuna kulala....hili kizazi cha taleban CDM mkikipata asubuhi tu CCM inasurrender....lakini hawa vijana wenu chips yai na k-vant hata mlio wa mpasuko wa puto tairi tayari mbio zake Dar - Moro..
 
Mama fanya haraka tupeleke Dirimu laina full wadangaji tubadirishane na ndugu zetu wapashtuni angalau tutaokoa vijana wetu na kupata mbegu bora ya watu watukutu na wapambanaji.....
 
Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
 
Back
Top Bottom