Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Basi uganda wako na bahati sana kanda yetu, maana hata israel ya leo kama wasingekataa ungekuta wako uganda kwa sasa.
Hata matukio mengi yamewahi kutokea uwanja wa ndege wa entebe, na hata la sasa litawainua mno!

Ajabu kwangu hao waasi hawaoni aibu kukombiwa na wananchi wao?

Lakini pia ni jinsi gani africa isivyo na thamani mbele ya wenzetu, tunafanywa kama jalala!
 
Raia wa hizo nchi ni watu peace sana...nilisoma chuo kimoja na muAfghan mmoja miaka ya nyuma, alikuwa anasomea udaktari wa wanadamu ili akirudi kwao akasaidie jamii za huko...vita ni kitu kibaya sana

Mataifa yaungane kuwapa hifadhi hao jamaa...
 
Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu ni waislam wa madhehebu mengine hawana siasa kali.
Baloch wanajua sana biashara

Ova
 
Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.

Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
Naomba nisaidie kuna kitu kinanitatiza. Taliban wamechukua nchi ila tofauti na vikundi vingine vya ukombozi vinapopigania ukombozi huwa wanaungwa mkono na wananchi ila Taliban ni tofauti nini tatizo?
 
Enzi za ubaharia nlibahatika kwenda Iran
Huko nlikaa kama miezi 4 kuna mahali nlikuwa naendaga na jamaa zangu,kulikuwa na wa jamii ya wa baloch toka Afghanistan wao walikiwa
Wanafanya biashara walikuwa na mtandao mkubwa sana aise,alafu jamaa muda wote wako high high

Ova
Mrangi mkuu unajua kuna siku ntakutafuta huko na exposure sana. Uligusiaga kidogo biashara yako ya real estate Canada kwenye comment flani hivi. Nikasema huyu si mwenzetu. Ila unakausha hujioneshioneshi.
 
mimi nashindwa kuelewa kwann hawa waikimbie nchi yao wakati asilimia kubwa ya raia hawajaikimbia nchi yao
Wataleban hawana utani kwenye Sharia Ukizini unapigwa mawe hadi unakufa na ukiiba wanakata mkono. Wanawake wote hakuna kufanya kazi za kuajiriwa wote ni mama wa nyumbani kazi yao moja tu na inajulikana.
 

Kampala. Uganda is set to temporarily host 2,000 refugees from Afghanistan following the political unrest in the country.
State minister for Relief, Disaster Preparedness and Refugees, Ms Esther Anyakun said on Tuesday that this follows a request by US government, which was granted by President Museveni.
"We expect to host them temporarily before they can be relocated by US government. It was request from US government to His Excellency. We started the preparation yesterday," Ms Anyakun said today.

Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa. Any way ngoja nikatafute toto la kiarabu Uganda...
 
Hahaha,msema kweli mpenzi wa mungu

Kwa waliyokulia kulia kino %35 wamekanyaga iran[emoji23][emoji23][emoji23]

Ah poa tutafutane

Nakuambia hawo wa Afghan wamekuja afrika
Ni kama chura kapigwa take
Maana kna mafgan mmja yuko mbeya igurusi analima sana mpunga anakuambia afrika ndiyo
Kwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom