Daaaaaah!tukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani...
Uwezo inao au inajilazilamisha ili kupata pesa ya UN/US, mbona waganda wengi wanateseka kupata basics za maisha je au wakimbizi ndo watapata?Uganda ina uwezo huo. Mpaka sasa inahifadhi wakimbizi wengi sana wa Congo DRC, Burundi, South Sudan na Somalia. Mpaka mwaka 2019, Uganda ilikuwa inahifadhi wakimbizi 1,223,003. Tanzania hadi mwaka 2020 tulikuwa na wakimbizi 258,280 tu. Kwa hio wametupita kwa mbali sana kwenye kuhifadhi wenye shida za ukaazi.
Unataka wakaribshe wazee, wa kazi gani? Bora kuleta vijana iliwaje wafanye kazi kama wale wenzao wa Rujewa kule Mbarali mkoani Mbeya (Wabaluchi).tukaribishe akina mama, wadada, watoto, wanaume wazee sana, wanaume wamakamo na vijana wabaki wapambane na Wataliban hamna namna....
Kwani ilikuwa ni lazima waende Marekani?Je uganda ina uwezo wa kuhifadhi hao watu au ni mpango wa Marikani, kupunguza wakimbizi nchini mwake?
Unataka waje waliwe kimasiharatukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani...
Mbona wamejazana hapaWabaki huko huko watakuja kutusumbua baadaye
Kwahiyo unamanisha akili za vijana wetu ni huwaza ngono, pisi kali totozi....ndo akiri za kijana wakitanzania, sio uchumu au katiba mpya?tukiongeza population wa kuleta madada wakutosha wakipashtuni na hawa wakwetu wadangaji tukawapelekea wataliban huko inaweza kuwasaidia vijana wa kitanzania kiasi fulani.
Hawa ni binadamu, damu yao inathamani mbele za Mungu. Inatakiwa watengewe nchi moja katikati ya Iraq and syria.Wabaki huko huko watakuja kutusumbua baadaye
Tena hao watu nijirani sanaa wapi na wapi uganda na Afaghanisitani, sema tu M7 anapenda sanaa dili za pesaKwanini mataifa ya kiarabu yasiwachukue mbona yapo mengi sana
Hawa wawahifadhi ndugu zao "UISLAM NI DINI YA KHAKI NA AMANI"
Unasafiriaha watu maelf ya mails wakati wamezungukwa na nchi kibaaaao za.kiarabu ambao watawlewana lugha.Tena hao watu nijirani sanaa wapi na wapi uganda na Afaghanisitani, sema tu M7 anapenda sanaa dili za pesa