Uganda imepiga marufuku michezo ya kamari na Kampuni za michezo hiyo hazitapewa tena kibali

Uganda imepiga marufuku michezo ya kamari na Kampuni za michezo hiyo hazitapewa tena kibali

Huyu wa kwetu hawezi kujifunza kwa museveni.Aliyempitisha tu huko ccm kwa nguvu zote awe mgombea urais mkapa hamsikilizi ije kuwa Museveni?
 
Nimekuja kwa kasi nikijua jamaa kakubali kuacha uongozi wake wa mkono wa chuma(udikteta uchwara) kumbe maswala yangu muhimu kabisa.

Mimi ni punter na najivunia kwa hilo

Twende mbele turud nyuma before gambling hazijaingia bongo pato la nchi na saikologi ya watu ilikuwaje?

bettng ni michezo kama michezo mingine na ina sheria zake
-"stake what your afford to lose" pia "cheza kwa kiasi" na kuepuka tamaa,tafti fatilia jiridhishe utaondoka na faida kila siku na kufanya maendeleo mengine ya kujenga taifa


Tuje kwako mkuu kama unajua principles za biashara utakubaliana na mimi kuwa ni kamali tosha maana hujui output yake itakuwaje na ndio maana tumesguhudia biashara nying zimekufa chali,so kwangu mimi betting kwa mtu makini ni ajira tosha

League ya Italy inadhaminiwa na kampuni moja kubwa ya betting "1xbet" na huko ni ulaya seuze hapa bongo,vp mdhamin wa Simba SC (wazee wa 5) ???na vipi mdhamini pia wa gor mahia ya kenya?? na vp mdhamini wa Everton klabu inayoshirik ligi uingereza???

Kama hutojali karbu sana jukwaa letu pendwa la wazee wa mzigo uje tupeane tips za kumuua mrusi na mhindi.unakaribishwa hutojutia

Mkuu ebu heshimu kazi za watu nikikwambia ninachoingiza kwnye betting per (daily goal in betting) kwa mwezi unakuja mshahara mtu aliyeajiliwa serikali na antuvimbia mtaani kwa kufunga tai kali.

My take betting haiwezi kufungiwa utateseka sana na hata ikifungiwa its not ishu kwa sababu nijuavyo Punter makini ambaye betting kwake ni ajira tosha hawachezi kwnye kampuni uchwara za kibongo.

Nyie endeleeni kucheleweshana kwenye majukwaa yenu ya siasa uchwara!!!!

Punter wenzangu nifundisheni ku-tag
Naomba Dejavu atagiwe chapu



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1547671996862.jpeg
    tapatalk_1547671996862.jpeg
    76.1 KB · Views: 51
Binafsi naona hili la ' Betting ' hasa hapa Tanzania na kwa jinsi ninavyoona kama lisipoangaliwa kwa umakini au hata ' Kufutwa ' kabisa au kuwekwe ' Kanuni ' fulani kuna ' Hatari ' kubwa mno ya Kijamii na hata ya Kisaikolojia kwa ' Wanaobeti ' inakuja. Siamini kama Rais Museveni ' amekurupuka ' tu kuja na haya ' Maamuzi ' ila kuna aliloliona na ndiyo maana ameamua bora achukiwe au asemwe vibaya ila aiokoe Uganda na Vizazi vya Waganda.

Naungana nae Rais Museveni kwa 100% zote na nampongeza kwa hii hatua na nawaomba Marais wengine wamuige.
Antibiotic GENTAMYCINE kwa kutumia IQ yako ya juu kabisa tusaidie sisi wakulima kutofautisha 'kilimo' na betting (hasa hiki cha kutegemea mvua)
 
Antibiotic GENTAMYCINE kwa kutumia IQ yako ya juu kabisa tusaidie sisi wakulima kutofautisha 'kilimo' na betting (hasa hiki cha kutegemea mvua)
Aisee bora unisaidie mkuu naona hajawahi fanya biashara wala kilimo kwa kifupi kwanye kutafuta pesa kwa njia yyte ni kamali tosha Even ujambazi yahn una-risk ili uje kuingza kitu flani ko kuna mawili hapo upate ama laaa labda kama umeajiriwa selikalini unsubir mwenzi ufike ukafolen dirishani..... imenibid nicheke kama sio kulia pia leo nimeamin humu ndani hata msakatonge mimi ni GT sema tu sianzishag siredi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hili nalo linahitaji Kubisha kuwa tokea ujio wa ' Betting ' hapa nchini hata ' Ufanisi ' katika Maofisi mengi umepungua kwakuwa asilimia kubwa ya Wafanyakazi akili zao wameziweka katika kuwaza au kwenda ' Kubeti ' huku wengine hadi wakifikia hatua hadi ya Kudanganya Ofisini Kwao kuwa ' wanaumwa ' ili asiende Kazini na aende ' Kukesha ' katika Vibanda vya Kubeti? Utakuwa ni ' Mpumbavu ' wa Kimataifa.
Watu wanabet online mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nchi yoyote ile Kubwa duniani imeendelea kwa Kodi za Kubeti? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwe ' nawadharau ' kila Uchao hapa Jamvini / Jukwaani. Jifunze Kujenga Hoja tafadhali.
Ukimdharau mtu anapungukiwa nin kwani na wew unapata nin...suala sio nchi kuendelea kwa kodi za betting ishu ni je iyo betting inachangia kodi kiasi gani...btw akuna nchi iliyoendelea kwa kodi kutoka chanzo kmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya simu imechangia vijana wengi kutumbukia katika dimbwi la michezo ya kubahatisha message zinaingia kila wakati sportpesa shinda milion 500,m-bet pata ushindi n.k
 
Kubeti ni kucheza kamari, watanzania tumeingia mtegoni na kamari. Vijana siku hizi hawafanyi kazi wamekalia kucheza kamari tu, sio vijana hata watu wazima wasiojitambua wako busy na mikeka kweli waafrika tunapaswa tutawaliwe tena ili tupate maendeleo!
Ukisema wasiojitambua unakosea...mana akuna siku ambayo mtu kakuomba usaidie kulisha family yake. Acha zako bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe ni kufuta michezo ya bahati Nasibu nami naafiki 100% Lakini hii baba, mwamba imetokea wapi? Unataka wachangiaji tuhoji ubaba, ubabu, umama au umwamba wake?
 
Mimi nashauri makampuni ya betting yaendelee kuongezeka maana yanaongeza mapato ya kodi.
Betting ni nzuri sana
 
Hii ikitokea hapa Tanzania wananchi wataandamana na Zitto atawaunga mkono huku akiishambulia serikali kuwa haijali wananchi wake wababaishaji wa ku-bet kila kukicha ili tu apate kiki.
ni kweli kwa kuwa serikali hiyo hiyo inakusanya kodi kwenye hiyo michezo. Lazima watu wenye akili kama zitto wawaunge mkono wananchi
 
Hatimaye Rais wa Uganda Mwanamume ' Mwamba wa Mbarara ' au ' Mwamba wa Kinyankole ' Yoweri Kaguta Museveni amefuta rasmi na kuzuia kabisa michezo yote ya Kubahatisha ( Betting ) nchini humo kwa kusema kwamba imesababisha Waganda wengi wawe Wavivu na Kuirudisha nchi nyuma Kimaendeleo kwakuwa hawajitumi katika Kuwajibika na Kuijenga nchi hiyo.

Haya na wale Marais ' Watoto ' wengine igeni hili upesi ili nchi zetu nazo zipige hatua haraka.

Nawasilisha.
m7 huwa ana akili ila sema basi tu madaraka hulevya
 
Hatimaye Rais wa Uganda Mwanamume ' Mwamba wa Mbarara ' au ' Mwamba wa Kinyankole ' Yoweri Kaguta Museveni amefuta rasmi na kuzuia kabisa michezo yote ya Kubahatisha ( Betting ) nchini humo kwa kusema kwamba imesababisha Waganda wengi wawe Wavivu na Kuirudisha nchi nyuma Kimaendeleo kwakuwa hawajitumi katika Kuwajibika na Kuijenga nchi hiyo.

Haya na wale Marais ' Watoto ' wengine igeni hili upesi ili nchi zetu nazo zipige hatua haraka.

Nawasilisha.[/QUOT
 
Kuna watu humu wanajionaga wana akili kubwa kuliko wengine.
Wewe kama kitu hukipendi usilazimishe na wengine wakichukie. Na usiwatishe watu kwa sababu ya mihemko na imani yako uliyonayo juu ya vitu fulani ambavyo wewe huvipendi.

Hata uwepo wa shetani una faida kubwa sana hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamari haijawahi kuwa nzuri hata siku moja

1.Vitabu vyetu vya dini kuu 2 zote vimekemea

2.Nimekulia sehemu ambayo kuna watu sio chini ya 7 nawafahamu wakicheza/kuchezesha kamari tangu miaka ya 1980 mpaka leo ukiwaona ni majanga tuu

3.Kuna jamaa yangu wa karibu saana alikuwa na bucha za nyama hapa dsm sio chini ya 15 uraibu ulivyokolea zilipuruchuka moja baada ya nyingine zikaisha zoote

4.Kuna kijana nafahamiana naye zaidi ya miaka 10. Ni jirani na site yangu, kwa hiyo wakati nafanya ujenzi vifaa vingi nilikuwa naviacha kwao. Alivyoanza uraibu wa Kamari vifaa akaanza kuuza nami nikaacha kuweka kwao, hakuishia hapo akawa anakuja site anaiba mchanga kwa ndoo akipata ndoo 2 swaafi huyo anateleza anaenda kucheza

5.Bado athari za kimwili, kiakili na kiroho. Jaribu kuangalia heart béats za Mraibu wa Kamari mara apatapo pesa, mara anapo subiri majibu, mara majibu yanapotoka na matokeo yake chukulia huyo ni Daktari anamuhudumia mkeo au mamaako au mwanao

6.Arosto(addiction/uraibu/usongo) wa kamari hautofautiani na drugs na watu wanaathirika sana mpaka inafikia wawekwe kwenye camps kama zile za drug addicts

7.Mwito wangu kwa viongozi wa dini waungane katika hili jambo wawashauri viongozi wa Serikali waachane na hili jambo linadhoofisha thinking capacity ya vijana

Wee jaribu fikiria vijana wa Tandale, Manzese, Mbagala,Magomeni, Tandika, Keko,Mwananyamala na kadhaalika watakuwa wapi miaka mitano ijayo wakiendkeza michezo hiyo
Mtu ana hiyari asile akacheze kamari
Mtu anaweka mpàka Mkewe Rehani aazimwe pesa ataenda kuchukua hati ya nyumba ili acheze Kamari
Akiwa Mwanamke ndio kabisa ni rahisi sana kuwa Malaya kwa sababu ya Kamari
8.Kamari ikishakukolea saana ina urafiki mkubwa na ushirikina yaani lazima ujue tarehe, nyota, rangi za nguo, namba na mizungu yake



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom