greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Kubet ndo kazi yenyewe, wafanye kazi ipi tena!?Hivi kweli kubeti kunazuia watu wasifanye kazi? Ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubet ndo kazi yenyewe, wafanye kazi ipi tena!?Hivi kweli kubeti kunazuia watu wasifanye kazi? Ujinga
Ndo mimi nashangaa, nimeona hadi madaktari wanabeti sasa utasemaje watu hawafanyi kazi
Hivi kweli kubeti kunazuia watu wasifanye kazi? Ujinga
Na kodi inalipwa.Ndo mimi nashangaa, nimeona hadi madaktari wanabeti sasa utasemaje watu hawafanyi kazi
Ndo mimi nashangaa, nimeona hadi madaktari wanabeti sasa utasemaje watu hawafanyi kazi
Maisha haya ya teknolojia haina haja ya kuaga ofisini, unatandika mkeka wako online then unaendelea na majukumu mengine huku unasikilizia mkeka wako.Hivi hili nalo linahitaji Kubisha kuwa tokea ujio wa ' Betting ' hapa nchini hata ' Ufanisi ' katika Maofisi mengi umepungua kwakuwa asilimia kubwa ya Wafanyakazi akili zao wameziweka katika kuwaza au kwenda ' Kubeti ' huku wengine hadi wakifikia hatua hadi ya Kudanganya Ofisini Kwao kuwa ' wanaumwa ' ili asiende Kazini na aende ' Kukesha ' katika Vibanda vya Kubeti? Utakuwa ni ' Mpumbavu ' wa Kimataifa.
Sasa a smart solution ni kuboresha maslahi ya wafanyakazi siyo kuzuia kubeti, ifike mahali tuache kuwa mechanical with every decisionHivi hili nalo linahitaji Kubisha kuwa tokea ujio wa ' Betting ' hapa nchini hata ' Ufanisi ' katika Maofisi mengi umepungua kwakuwa asilimia kubwa ya Wafanyakazi akili zao wameziweka katika kuwaza au kwenda ' Kubeti ' huku wengine hadi wakifikia hatua hadi ya Kudanganya Ofisini Kwao kuwa ' wanaumwa ' ili asiende Kazini na aende ' Kukesha ' katika Vibanda vya Kubeti? Utakuwa ni ' Mpumbavu ' wa Kimataifa.
Kwenda zako, mlipiga marufuku watu kucheza pool table na kunywa pombe asbh what did you achieve? Vitu vingine ujinga tu mnafanyaPoor argument and reasoning.
Kwa taarifa yako hata hao unaowashauri wafungie betting wananufaika na michezo hii aidha kwa kucheza au kukusanya kodi so ni kama unampigia mbuzi gita!Kuna nchi yoyote ile Kubwa duniani imeendelea kwa Kodi za Kubeti? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwe ' nawadharau ' kila Uchao hapa Jamvini / Jukwaani. Jifunze Kujenga Hoja tafadhali.
Utafiti huu umeufanyia wapi?Hivi hili nalo linahitaji Kubisha kuwa tokea ujio wa ' Betting ' hapa nchini hata ' Ufanisi ' katika Maofisi mengi umepungua kwakuwa asilimia kubwa ya Wafanyakazi akili zao wameziweka katika kuwaza au kwenda ' Kubeti ' huku wengine hadi wakifikia hatua hadi ya Kudanganya Ofisini Kwao kuwa ' wanaumwa ' ili asiende Kazini na aende ' Kukesha ' katika Vibanda vya Kubeti? Utakuwa ni ' Mpumbavu ' wa Kimataifa.
Kwa hali ilivyo hata biashara ni mchezo wa kubahatisha.Ukikaa na Watu wenye ' akili ' zilizotukuka unaweza mbele yao na kwa Kujiamini kabisa ukasema kuwa ' Kubeti ' ni sehemu mojawapo ya Ajira? Ingekuwa ni Ajira ingeitwa Michezo ya Kubahatisha? Hivi kwanini baadhi yenu hamjishtukii kuwa ni ' Watupu ' kabisa Vichwani mwenu na badala ya Kuchangia basi muwe tu Watamazaji na muwaache wale wenye kujua ' Kufikiri ' ndiyo wachangie?
Siwapingi wale wote ambao mnampinga Rais Museveni na mnasema kuwa ' Kubeti ' hakuna madhara ila nataka Mtu akija hapa na Kupinga basi hata ' Hoja ' yake ya Kiutetezi iwe na mashiko kama siyo mantiki lakini siyo kuja Kujibu Kitoto kama siyo Kipuuzi kama hivi na kwa huyo Mwenzako hapo juu.
Maisha haya ya teknolojia haina haja ya kuaga ofisini, unatandika mkeka wako online then unaendelea na majukumu mengine huku unasikilizia mkeka wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana hii kitu inaniuzi sana ni janga la taifaHatimaye Rais wa Uganda Mwanamume ' Mwamba wa Mbarara ' au ' Mwamba wa Kinyankole ' Yoweri Kaguta Museveni amefuta rasmi na kuzuia kabisa michezo yote ya Kubahatisha ( Betting ) nchini humo kwa kusema kwamba imesababisha Waganda wengi wawe Wavivu na Kuirudisha nchi nyuma Kimaendeleo kwakuwa hawajitumi katika Kuwajibika na Kuijenga nchi hiyo.
Haya na wale Marais ' Watoto ' wengine igeni hili upesi ili nchi zetu nazo zipige hatua haraka.
Nawasilisha.