PostGE2025 Uganda inatuhumiwa kuingiza wanajeshi siku ya Uchaguzi, Jaji wa Uganda ataweza kuichunguza nchi yake?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Samia ameunda tume huku akimteua Jaji Barishaki Cheborian wa Uganda kuwa mmoja wa tume hiyo kuchunguza chanzo cha vurugu.

Soma PostGE2025 - Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

Zipo taarifa za wanajeshi wa Uganda kuingia Tanzania siku ya uchaguzi na kuhusika kuua Watanzania ili kuulinda utawala.

Je, Tume ikigundua kuwa ni kweli wanajeshi wa Uganda waliingia Tanzania siku ya uchaguzi huyo jaji anaweza kuwa Neutral?

Pili Uganda haina rekodi nzuri kuhusu haki za binadamu, mpinzani mkuu wa Mseveni Dkt. Besigye yupo kizuizini kwa mashtaka ya uhaini tangu 2024, huyu jaji anayekuja Tanzania kashindwa nini kumshauri Mseveni kumaliza kesi hiyo, je ataweza kuwasuluhisha Watanzania?

Tatu, mwezi Juni Rais wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, alifanya ziara ya siku 3 nchini, juzi Mseveni alikuja kumtembelea Samia, siku moja baadae majaji wa nchi hizo wanateuliwa kuongoza tume inafikirisha na kutia mashaka nia hasa lengo la hii tume.
 
Mkuu ebu tupe taarifa kamili ili tuwavue nguo hao CCM maana aiwezekani UPDF iingie nchini wakati kuna JWTZ..maana yake nchi ilikua imetekwa
 
Tulipishana nao wakiwa wamejaa ndevu videvuni. Sura kama za watu wa rwanda/burundi
Mlipishana nao wapi?
Wakienda wapi?
Hivi kweli jeshi la Tanzania linaweza kufungua mlango kwa jeshi lingine ?
 
Hii issue ya wanajeshi wa uganda ilikua ni kweli au ilikua rumours?
Lisemwalo lipo, hakunaga uongo usio na chembechembe za ukweli.Lazima pawepo na ukweli kiasi ndio watu waongeze au wapunguze kitu.Kwa nini hawakutajwa wanajeshi wa Kenya au South Africa au Ethiopia, kwa nini watajwe straight forward wa- Uganda???Kuna kitu
 
Inasemekana hao wanajeshi wa uganda waliwaambia wa jwtz kuwa wakileta za kuleta watalifyeka jeshi lote la jw na wakanywea kama kama jani linavyonyauka kwenye moto.Watanganyika hatuna jeshi kabisa.kazi kula mshahara wa bure.Ipo siku tutaenda kambini kwao kuwacharaza viboko kabisa.
 
Mkuu ebu tupe taarifa kamili ili tuwavue nguo hao CCM maana aiwezekani UPDF iingie nchini wakati kuna JWTZ..maana yake nchi ilikua imetekwa
Akupe taarifa gani wakati yeye kauliza kwa kuwa kuna tuhuma za hao wnajeshi kuingia nchini, jaji kutoka huko huko kunakotuhumiwa ataweza kuwa fair?
 
Lisemwalo lipo, hakunaga uongo usio na chembechembe za ukweli.Lazima pawepo na ukweli kiasi ndio watu waongeze au wapunguze kitu.Kwa nini hawakutajwa wanajeshi wa Kenya au South Africa au Ethiopia, kwa nini watajwe straight forward wa- Uganda???Kuna kitu
We unajua propaganda vizuri kuna watu wamesomea kupika majungu si unajua hilo lakini?

Kama ni kweli wakodiwe wanajeshi mamluki kutoka Uganda kwa sababu gani kwamba waliopo hawatoshi?

Au kwamba wa hapa walikaidi amri?

Kuna maswali kama yana kwepwa

Kwamba JWTZ hawajui madhara ya kufungua mlango kwa mgeni wa aina hiyo🤔
 
Mpaka Leo najiuliza... Hivi wale vijana waliokuwa hawana chochote mkononi ni kweli walikuwa na nia ya kuipindua Serikali?
 
Mlipishana nao wapi?
Wakienda wapi?
Hivi kweli jeshi la Tanzania linaweza kufungua mlango kwa jeshi lingine ?
Jeshi likishakuwa na kamanda mkuu corrupt, tegemea lolote. Ni nani aliuawa vijana wa kitanzania wakiwemo watoto na wamama wajawazito 29/10?
 
Samia ameunda tume huku akimteua Jaji Barishaki Cheborian wa Uganda kuwa mmoja wa tume hiyo kuchunguza chanzo cha vurugu.

Soma PostGE2025 - Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

Zipo taarifa za wanajeshi wa Uganda kuingia Tanzania siku ya uchaguzi na kuhusika kuua Watanzania ili kuulinda utawala.

Je, Tume ikigundua kuwa ni kweli wanajeshi wa Uganda waliingia Tanzania siku ya uchaguzi huyo jaji anaweza kuwa Neutral?

Pili Uganda haina rekodi nzuri kuhusu haki za binadamu, mpinzani mkuu wa Mseveni Dkt. Besigye yupo kizuizini kwa mashtaka ya uhaini tangu 2024, huyu jaji anayekuja Tanzania kashindwa nini kumshauri Mseveni kumaliza kesi hiyo, je ataweza kuwasuluhisha Watanzania?

Tatu, mwezi Juni Rais wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, alifanya ziara ya siku 3 nchini, juzi Mseveni alikuja kumtembelea Samia, siku moja baadae majaji wa nchi hizo wanateuliwa kuongoza tume inafikirisha na kutia mashaka nia hasa lengo la hii tume.
Hakuna mwanajeshi wa Uganda aliyekuja kuzima vurugu za uchaguzi mkuu, wahuni walishughulikiwa na vijana wa hapa hapa nchini.

Mmepatwa na wasiwasi mkubwa baada ya tume nyingine kuundwa na Rais SSH, mkae kwa kutulia.
 
Ile ziara ya Museveni juzi kati na uteuzi wa jaji jana yake ni script iliyonyooka sana kulinda utawala wa kikanda.

Ikigundulika wanajeshi wa Uganda walihusika, ripoti it asema tu walikuja kama watalii wa amani na siyo wavamizi, haya mambo yako wazi sana.
 
Hakuna mwanajeshi wa Uganda aliyekuja kuzima vurugu za uchaguzi mkuu, wahuni walishughulikiwa na vijana wa hapa hapa nchini.

Mmepatwa na wasiwasi mkubwa baada ya tume nyingine kuundwa na Rais SSH, mkae kwa kutulia.
Kusema kweli ili linaweza kutukuta maana sisi ndiyo daah mwenyekiti aliasa tuvuruge uchaguzi
 
Back
Top Bottom