Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 132
marekebisho TafadhaliUkwel ni kwamba...kingenge kina wakanganya watanzania...wengi wenu wanaondika na kuongea kingereza fasaha hasa hapa jf ni wale ambao walisomea nje ya nchi...
Lkn ukikutana na jamaa wa st kayumba utashangaa...utajiuliza huyu wa ni graduate kwel ama ananizengua tu...
Manake jamaa atangangania muongee kingereza wakati yeye hayumo kabisa...
Ninakufundisha mengi tu ndio maana kila nikikunyuka misamiati migumu unakimbilia google kuhakiki sarufi na kukariri tuvineno uchwara!...Kana kwamba sijawahi kaa darasani na kufundishwa. Silabi,konsonanti na irabu huna cha kunifundisha hapo.
Nilishangaa nyie wenye kiswahili hamjui mnyambuliko wa vitenzi
marekebisho TafadhaliUkwel ni kwamba...kingenge kina wakanganya watanzania...wengi wenu wanaondika na kuongea kingereza fasaha hasa hapa jf ni wale ambao walisomea nje ya nchi...
Lkn ukikutana na jamaa wa st kayumba utashangaa...utajiuliza huyu wa ni graduate kwel ama ananizengua tu...
Manake jamaa atangangania muongee kingereza wakati yeye hayumo kabisa...
Nimekaa muda mrefu bila kutumia Google. Kwa sasa natumia jf tu.Ninakufundisha mengi tu ndio maana kila nikikunyuka misamiati migumu unakimbilia google kuhakiki sarufi na kukariri tuvineno uchwara!
Kwanza nataka nikuoe ili nikufundishe Kiswahili vizuri.
marekebisho Tafadhali
"Wakanganya"
"Ananizengua"
"Atangangania"
Mwandishi mashuhuri kutoka 254 huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekaa muda mrefu bila kutumia Google. Kwa sasa natumia jf tu.
Kiswahili nilikuwa nakipenda nikiwa shuleni (as a subject) right now sina haja nacho
wasukuma mmefanana nao ila wamewazidi kiswahili.katika kiswahili sanifu hatuna haya maneno👇Heheeee!!duh!!kumbe wewe hujui kiswahili..please we komaa na kisukuma tu...
Heheee..kujua kiswahili kwn wataka niongee km unavyoongea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwel wewe ni kilaza[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nikiwa kwenye daladala kuna watu huwa sipokei simu zao, sababu ni kuongea kingereza mbele ya kadamnasi mana kila mtu atakuangalia kwa mshangao mkubwa wakijiuliza huyu jamaa wa wapi? Mhamiaji nini? Kwani hajui lugha ya Taifa letu? Au kuna kitu hataki tuelewe(anateta nini huyu) ?Kwavile mnajidanganya Watanzania hawajui Kiingereza, bila kufahamu tofauti ya Watanzania na Wakenya, ni shobo kwenye lugha ya Kiingereza!!
Hivi kabisa unaamini mtu amesoma History, Kiswahili, and English kwa miaka 4, kisha akaenda A-Level akasoma History, Kiswahili, English (HKL),au (HGL) kwa miaka 2!
Baada ya hapo, anaenda chuo akasoma ama Linguistic, BA, n.k, na kwa madogo wa siku hizi, wapo wengi sana waliosoma English Medium kuanzia shule ya msingi; lakini bado unaamini wote hao hawajui Kiingereza?!
Unachekesha!! Unachekesha kwa sababu usichofahamu ni kwamba, wakati nyie mnaonea fahari kuongea Kiingereza hata pasipo na sababu za msingi, Watanzania wengi wanaamini kuongea Kiingereza pasipo na sababu za msingi ni ushamba na ulimbukeni!!
Kwa mfano, ukinikuta nimesimama kwenye kituo cha daladala ukaniongelesha Kiingereza, amini usiamini, ama sitakujibu, na kama nitakujibu, basi nitakujibu kwa Kiswahili!
Nitakujibu kwa hiyo lugha ya kigeni endapo tu utakuwa hufahamu Kiswahili!!
Halafu kingine usichokijua ni kwamba, Watanzania wengi tatizo lao ni kwenye Kiingereza cha kuongea lakini sio cha kuandika!!!
Kwenye kufundisha Kiswahili, Mfundishaji anahitajika kuwa na ufahamu wa kawaida wa lugha ya Kiingereza lakini anatakiwa kuwa na ufahamu wa juu wa Kiswahili, lakini sio ufahamu wa juu wa Kiingereza na ufahamu wa kawaida wa Kiswahili!!
Kwenye jamii ya watanzania hakuna lugha ya muhimu kushinda kiswahili, hivyo hata mtu akijue lugha nyingine tofauti na hii basi hatoitumia hadi pale inapomlazimu kuitumia.Hauwezi ukaijua lugha bila kuitumia, tena ukubwani, yaani unakumbana na Kingereza kuanzia kidato cha kwanza, halafu haukitumii kwenye mawasiliano, hicho kidogo unachofundishwa kinakutoka mara moja.
Lugha yoyote ile lazima uitumie mara kadhaa ndio uje kuimudu. Mpo ovyoo sana kingereza watu wa ze ze ze, na hata Kiswahili uandishi wenu ovyoo sana.
Hamna lugha hata moja mliyoimudu, hadi zenu za asili, asilimia kubwa kati yenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu za asili.
Kwenye jamii ya watanzania hakuna lugha ya muhimu kushinda kiswahili, hivyo hata mtu akijue lugha nyingine tofauti na hii basi hatoitumia hadi pale inapomlazimu kuitumia.
Kwa kifupi tumefanikiwa sana kujali lugha yetu kwa 100%.
Ni kwa sababu ya muingiliano wao na asili yao ni moja sema wanajitenganisha kijiogorafia tu lakini wote ni wamoja.Watu wa Uganda hawapendi hio lugha, inatumika tu Sana na watu wa kabila la waganda na jiji kuu la Kampala lakini ukienda Kwa wasoga wanatumia tu lugha Yao, ukienda Kwa watoro wanatumia tu kitoro vile vile wanyankole na wakonjo kule rwenzori .uziri wa Bantu za Uganda ni kwamba ukijua lugha moja utaelewa 90% ya lugha zingine za kibantu na inakua rahisi Sana Kwa ajili ya mawasiliano.
Sio kingereza ni kiingereza kuna double (i) ny'ie ndio mmetuharibia kiswahili cha Google na Facebook ni kibaya sijawahi kuona 😛😛Hauwezi ukaijua lugha bila kuitumia, tena ukubwani, yaani unakumbana na Kingereza kuanzia kidato cha kwanza, halafu haukitumii kwenye mawasiliano, hicho kidogo unachofundishwa kinakutoka mara moja.
Lugha yoyote ile lazima uitumie mara kadhaa ndio uje kuimudu. Mpo ovyoo sana kingereza watu wa ze ze ze, na hata Kiswahili uandishi wenu ovyoo sana.
Hamna lugha hata moja mliyoimudu, hadi zenu za asili, asilimia kubwa kati yenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu za asili.
wasukuma mmefanana nao ila wamewazidi kiswahili.katika kiswahili sanifu hatuna haya maneno[emoji116]
"Ananizengua"
"Atangangania"
Huyu mwendawazimu vipi huyu mbona haelewi
From north zone of tz
jifunze uandishi wa kiswahili sanifu hatuhitaji baradhuli humu jf wenzio wakikosolewa wanaelewa.unatia kichefuchefu kwa uandishi wako.hunalolote unalojuaBwahahaaaaaa...hujui kiswahili jomba...we msukuma...nani kakwambia km hayo ni maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Hyo sentensi bana...ni vile nayashikanisha maneno tu...huna jipya msukuma...umeshindwa na hoja[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]..usiforce niongee kiswahili km chako baba...
jifunze uandishi wa kiswahili sanifu hatuhitaji baradhuli humu jf wenzio wakikosolewa wanaelewa.unatia kichefuchefu kwa uandishi wako.hunalolote unalojua
CHAGA BOY FROM NORTH ZONE OF TZ
unajichekesha kitu gani au ndo unatafuta bwana!?.mashoga mna mamboUandishi tena...heheee!!ukiona mtu kakomaa na uandishi wa mtu jf...basi ujue mada ime mlemea....
Kwanza we msukuma wajua nn zaidi kuunga juhudi...
I don't have strong feelings either way..
unajichekesha kitu gani au ndo unatafuta bwana!?.mashoga mna mambo
nataka kujua ivi kina ccm huko Kenya!? ccm inauhusiano gani nawewe !?kiherehere "ngoma linapigwa tz uko Kenya unakata kiuno" .Kawaida ya ccm...wakishindwa huanza matusi...kwhyo hta sishangai
nataka kujua ivi kina ccm huko Kenya!? ccm inauhusiano gani nawewe !?kiherehere "ngoma linapigwa tz uko Kenya unakata kiuno" .