Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

Unataka kuniambia watu wa Zan, Msa na Mal hawana lugha zao za asili ukiachana na kiswahili?
A good percentage lugha their L1 ni Kiswahili. Only difference ni lahaja zao, utapata Kiamu, Kiunguja, Kimvita n.k.
 
Sio kweli unayosema, soma post #46 ya Tony254, wakenya wanaoweza kusikiliza na kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiingereza ni chini ya 45%, na wengi ni wale wanaokaa mijini. Haiwezikane wakazi wa Samburu, Turkana, Wajir na Kajiado na mijikenda waweze kuelewa mazungumzo kwa kiingereza.

70% ya wakenya wanauwezo wa kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiswahili, kwanini viongozi wenu, na TV na Magazeti Mengi yanatumia lugha ya kiingereza badala ya Kiswahili?
I doubt ni less that 45%. Unajua as long as anyone has gone through school ako na uwezo wa ku understand. Maybe tuseme the older generation, 70s and above hawaelewi. So a majority of Kenyans may have an idea what Uhuru is saying but ukiwaambia wazungumze they wont be able.
Story za media ni something else, guess kitambo, Kiswahili was the poor mans language, the commoner. And commoners hawawezi afford gazeti. And I doubt anyone would be comfortable reading a newspaper in Kiswahili here.Kuna vile it doesnt feel right.
 
Acha kuzingusha Maneno, 70% ya wakenya wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiswahili, na 45% wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiingereza, kwanini msitoe ujumbe kwa lugha inayoeleweka kwa watu wengi?
hizo figure zako '45%' na '70%' umezitoa wapi? Mtu yeyote amepitia shule ya msingi anaweza kuelewa Kiingereza. So ako na idea what is being said bruh. Though they may not be able to use Anglais fluently
 
Hapana asee hapo unajidanganya eti kwa sababu mimi nimezaliwa bara sijui kiswahili fasaha [emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio kama kenya ambayo lugha fasaha ya kiswahili utaipata Msa tu, huku popote unapoenda unakutana na kiswahili fasaha.
A good percentage lugha their L1 ni Kiswahili. Only difference ni lahaja zao, utapata Kiamu, Kiunguja, Kimvita n.k.
 
Hapana asee hapo unajidanganya eti kwa sababu mimi nimezaliwa bara sijui kiswahili fasaha [emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio kama kenya ambayo lugha fasaha ya kiswahili utaipata Msa tu, huku popote unapoenda unakutana na kiswahili fasaha.
Languages get influenced bruh. Thats why you get sheng na Swanglish(high class). Ata Kiswahili I am sure was some bastardised Arabic at some time in history and it became a language of itself.
 
Hapana asee hapo unajidanganya eti kwa sababu mimi nimezaliwa bara sijui kiswahili fasaha [emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio kama kenya ambayo lugha fasaha ya kiswahili utaipata Msa tu, huku popote unapoenda unakutana na kiswahili fasaha.
You so proud of Kiswahili. Why arent you that proud of your native tongue, you know the language your ancestros have been speaking for centuries????
 
Nyie wa bara mnatumia herufi 'r' mahali pa herufi 'l'. Ama unadhani hatujui?
 
Hawa wakenya inabidi wadhibitiwe hata kwa minyororo ili wasituharibie Kiswahili chetu!

Wakenya mkubali hamjui Kiswahili ninyi. Hamjui kabisa.

Ninyi bakini na hicho Kiingereza chenu cha makombo ya mzungu ambacho nacho pia hamkijui. Mnababaika tu kama majibwa ya kikoloni.

Tafadhali. Kiacheni Kiswahili msiwe na kiherehere nacho maana hicho si chenu!

Badala yake tunawaomba mje madarasani tuwafunze Kiswahili kama ambavyo tunawafunza waafrika wengine.
Godzilla mbona una machungu jameni? Nyumbani kwema lakini? Ama mke ametoroka?
 
Najivunia kiswahili kwa sababu ni lugha ninayotumia kuwasiliana na watu wa nchi yangu popote pale,
Lugha yako ya asili Utaitumia vipi kuwasiliana na watu wasio fahamu, au huko kwenu Mkikuyu na mmeru Wanaelewana?
You so proud of Kiswahili. Why arent you that proud of your native tongue, you know the language your ancestros have been speaking for centuries????
 
Tafuta mwalimu akufundishe uandishi wa kiswahili.
Mkenya anayeongea kiswahili kilichonyooka labda ni wewe tu na hii ni kwa kuwa umekaa sana tanzania ila the rest ....hakuna kitu wanaweza kuongea ukaelewana nao.
 
Mwananchi akitaka huduma ya serikali na haelewi kingereza bila Shaka atatafsiriwa na yule anaemhudumia na ndio maana pia tuna habari za saa moja Kwa wale ambao hawaelewi kingereza na saa tatu Kwa wasomi.
Kwaiyo sisi watz siyo wasomi Kwa sababu atujui English!!!??
 
Kutafsiriwa kwafanyika kote duniani hadi malangoni pako , mbona yule mchawi aliepatikana Kwa nyumba ya mchungaji kule morogoro alikua anazungumza lugha ya asili na wanatafsiri Kwa Kiswahili? Hilo pia linaonesha Kiswahili hawakijui watanzania wote.
Hao wachawi wanajificha Kwa kuona aibu hivyo anaweza kujidai bubu kabisa ila kiswahili anakijua
 
Hawa wakenya inabidi wadhibitiwe hata kwa minyororo ili wasituharibie Kiswahili chetu!

Wakenya mkubali hamjui Kiswahili ninyi. Hamjui kabisa.

Ninyi bakini na hicho Kiingereza chenu cha makombo ya mzungu ambacho nacho pia hamkijui. Mnababaika tu kama majibwa ya kikoloni.

Tafadhali. Kiacheni Kiswahili msiwe na kiherehere nacho maana hicho si chenu!

Badala yake tunawaomba mje madarasani tuwafunze Kiswahili kama ambavyo tunawafunza waafrika wengine.
Tena cha kushangaza kuusu Kenya walimu wao ndiyo wanaongoza Kwa kutukujua kiswahili vizuri bora hata wakenya wa JF wanajitaidi
 
I doubt ni less that 45%. Unajua as long as anyone has gone through school ako na uwezo wa ku understand. Maybe tuseme the older generation, 70s and above hawaelewi. So a majority of Kenyans may have an idea what Uhuru is saying but ukiwaambia wazungumze they wont be able.
Story za media ni something else, guess kitambo, Kiswahili was the poor mans language, the commoner. And commoners hawawezi afford gazeti. And I doubt anyone would be comfortable reading a newspaper in Kiswahili here.Kuna vile it doesnt feel right.
Mbona muvi zilizo tafsiriwa za kiswahili kutoka tz zikua zikipendwa Kenya pia hadi baadhi ya wakenya nao wakajiingiza in wenye kutafsiri muvi ila wakachemka na kiswahili chao kibovu
 
Godzilla mbona una machungu jameni? Nyumbani kwema lakini? Ama mke ametoroka?
Kitu cha kushangaza walimu wa kiswahili Kenya ndiyo awajui kabisa kiswahili bora hata hawa mapimbi wa kikenya waliopo JF
 
Kila mkenya ambaye alifika darasa la Saba Kwa ule mtaala wa Kenyatta senior na darasa la nane Kwa mtaala wa moi maarufu kama 8-4-4 wote wanaelewa kingereza huenda wasizungumze vizuri lakini wataelewa kinachozungumziwa.
Wakenya wanaoelewa ujumbe unaotolewa kwa kiingereza ni 45%, wakati wanaoelewa ujumbe unaotolewa kwa Kiswahili ni 75%. Swali, kwanini viongozi wenu na serikali nzima hutumia kiingereza?
 
Back
Top Bottom