Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

Serikali ya Uganda ipo kwenye hatua za kuteua baraza la kitaifa la kuratibu matumizi ya Kiswahili na kukiidhinisha kama lugha ya pili baada ya Kingereza. Kawaida hawajawa wakikitumia Kiswahili rasmi japo kwenye baadhi ya maeneo maeneo.
Ni fursa za wazi kwa walimu wa Kenya kwenda kufundisha Kiswahili maana watahitajika wanaojua kuongea Kingereza ili irahisishe kuelewesha Kiswahili. Kama kawaida Wakenya hatuchelewi kwenye mambo kama haya.
---------------------------

The Ugandan Government has endorsed the establishment of the Uganda National Kiswahili Council whose main objective is to guide the introduction of Kiswahili as the second national (official) language.
Addressing journalists about the Cabinet decision at State House Entebbe on Monday, Mr Ofwono Opondo, the executive director of Uganda Media Centre, said that the establishment of the council is provided for in the Constitution and it’s mandated to ensure that Kiswahili is rooted as the second national language.
“The Constitution provides that we shall have two national languages [that is] English and Swahili but we have not been using Swahili. This council will be recruiting Swahili teachers who will be deployed to teach Swahili in schools,” he said.
He said the council will also oversee the establishment of a policy, legal and institutional framework for setting standards for effective promotion, development and usage of Kiswahili at all levels.
English has been Uganda's lone official language since independence in 1962.
In 2005, Kiswahili, which is viewed as neutral, was proposed as the country's second official language.

Tatizo hamjui kiswahili, mnaibia ibia tu
Kanyaga twende.
 
Niletee kamusi yenye iko verified...
Ile siku utakuta neno "vema" "hiko" nita log off jf...
Pia ukikosa "wacha" na log off vile vile...
Halafu usijisahaulishe, na wakati ulisema neno vyema halipatikani kw kamusi,bali ni kiswahili cha kenya
mkuu huyu mjinga nimekuwa nikimuelekeza Mara kadhaa haelewi,wenzie tunawaelewesha wanaelewa yeye anajitia anajua .soma hiyo reply
"Kamusi zenye ziko verified". Hatuna kiswahili kama hichi
 
Nynyi jamaa ni wapuuzi sana...sasa mnafikiria kiswahili kimejitosheleza...huaga mnaongea ni km hicho kiswahili kilitungwa na mababu zenu...acheni sifa za kijinga bana...

Endeleeni kubaki gizani na kujipa misifa ya kwamba mnamiliki kiswahi huku wengine wakifaidika nacho...

Anyway...am off guys..
Byda,nawashukuru sana kw kunipa tabu kuwaelewesha...
 
Niletee kamusi yenye iko verified...
Ile siku utakuta neno "vema" "hiko" nita log off jf...
Pia ukikosa "wacha" na log off vile vile...
Halafu usijisahaulishe, na wakati ulisema neno vyema halipatikani kw kamusi,bali ni kiswahili cha kenya
"Niletee kamusi yenye iko verified"bado unaendelea tu,hichi sio kiswahili mwehu wewe mbona huelewi!?
Soma vizuri kabla ya kureply unatatizo la kutokuelewa .view hiyo attachment
 
Attachments

  • Screenshot_2019-09-19-11-32-44.png
    Screenshot_2019-09-19-11-32-44.png
    12 KB · Views: 8
Waganda na Kiswahili ni sawa na kuliona lori la mafuta lilipata ajali mbele yao.
 
Nynyi jamaa ni wapuuzi sana...sasa mnafikiria kiswahili kimejitosheleza...huaga mnaongea ni km hicho kiswahili kilitungwa na mababu zenu...acheni sifa za kijinga bana...
Endeleeni kubaki gizani na kujipa misifa ya kwamba mnamiliki kiswahi huku wengine wakifaidika nacho...
Anyway...am off guys..
Byda,nawashukuru sana kw kunipa tabu kuwaelewesha...
kiswahili ni lugha ambayo imechukua maneno kutoka katika lugha nyingi tofauti kama ilivyo katika lugha nyingine yeyote
64%-lugha za kibantu(lugha za makabila ndani ya Tanzania)
31%-lugha ya kiarabu
5%-lugha zingine(kingereza,kijerumani,kikongo n.k)
Ni kweli hakuna lugha ambayo imejitosheleza
Huwezi faidika na usichokijua its a miracle.
 
Neno hiko umetaja wewe sijui umelitoa wapi,
Nenda kwenye kamusi official ya taasisi ya kiswahili Tanzania TUKI alafu search neno VEMA utaletewa,
Sijui kwanini unakuwa mbishi ila sishangai maana ndio asili yenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Enheeee!!!ilkua wataka niamini neno "hiko" ni neno la kiswahili lkn "vyema" si neno la kiswahili..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muulize mwenzako mi mwenyewe sijui kalitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Mbna hilo neno VEMA linapatikana kw kamusi ya TUKI pekeake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Kemu niletee evidence ya hicho ulichokileta...manake sijui hzo hesabu umezitoa wapi
kiswahili ni lugha ambayo imechukua maneno kutoka katika lugha nyingi tofauti kama ilivyo katika lugha nyingine yeyote
64%-lugha za kibantu(lugha za makabila ndani ya Tanzania)
31%-lugha ya kiarabu
5%-lugha zingine(kingereza,kijerumani,kikongo n.k)
Ni kweli hakuna lugha ambayo imejitosheleza
Huwezi faidika na usichokijua its a miracle.
 
Sasa mbona mwanzo ulikataa neno VEMA [emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mwenzako mi mwenyewe sijui kalitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Mbna hilo neno VEMA linapatikana kw kamusi ya TUKI pekeake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Enheeee!!!ilkua wataka niamini neno "hiko" ni neno la kiswahili lkn "vyema" si neno la kiswahili..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyu mwehu anajikana mwenyewe 😂😂hajui alietaja neno "hiko" .
babayao soma hapo 👆
 
Tuki my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kamusi ya chuo kikuu cha dar haitambui ushuzi "VEMA"
Sasa mbona mwanzo ulikataa neno VEMA [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati ndio inakubalika sana tanzania
 
Inatambui neno lipi sasa?
Mzee mbona unakuwa mbishi kiasi hiki Wakati nimekuambia ingia kwenye kamusi ya TUKI Search neno vema utaona,
Hivi Unafahamu hata kamusi ya TUKI ni ipi au unanipotezea muda tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umesema TUKI your foot alafu unasema tena kamusi ya chuo kukuu dsm haitambui
Ingia hapa na uache ubishi kubali kuelekezwa acha ujinga

Tuki my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kamusi ya chuo kikuu cha dar haitambui ushuzi "VEMA"
Wakati ndio inakubalika sana tanzania
 
Halafu usikwepe swali langu...lete evidence hapa...manake hzo hesabu zako sijui umezitoa wapi
wewe ni mpumbavu nimekuelekeza vyakutosha .wewe ni Malaya ambae unatafuta bwana humu jf, huo ushindi unaotafuta hamna anaekupa.
 
Halafu usikwepe swali langu...lete evidence hapa...manake hzo hesabu zako sijui umezitoa wapi
unashangaa hizo asilimia.usikute na bishana na mjinga ambae hajaenda darasa ,kasome historia ya lugha vitabu vya kiswahili kidato cha 4 mpaka 6 vimeeleza vizuri
Nenda shule kwanza Kobe wewe😂😂😂
 
Tanzania kwasasa tunawaamlia east africa nzima nn cha kufanya hata tukisema mziki upigwe miondoko ya bolingo tuu wala hamna ujanja
 
Back
Top Bottom