Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).

Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
 
View attachment 3008469
Uganda???!!!?
 
Okay, sio habari njema ila ata mimi nilisikia.

Tutauziwa magari kutoka KMC (Kiira Motors Cooperation), kua specifically models za hayo mabasi ni Kayoola EVs.

Kayoola_EVS.jpg
images (7).jpeg
kevs.jpg

Ni mabasi yenye range ya hadi 300km yakiwa na full charge, na yana uwezo wa kubeba hadi abiria 90.

Haya magari yako powered na Lithium-ion battery, na tofauti na EV nyingi, yenyewe ni 2-speed automatic transmission.

According to "wao" KMC, battery zao za haya mabasi zina charging circles 3000 kabla ya kuisha kabisa nguvu.

NB: 1 charging circle yao ni 300km so fanya hesabu: 300 times 3000 unapata lifetime kilometa 900,000 kabla battery haijawa haina maana kabisa.

Sio mimi, ni wao.
 
Okay, sio habari njema ila ata mimi nilisikia.

Tutauziwa magari kutoka KMC (Kiira Motors Cooperation), kua specifically models za hayo mabasi ni Kayoola EVs.

View attachment 3008473View attachment 3008474View attachment 3008475

Ni mabasi yenye range ya hadi 300km yakiwa na full charge, na yana uwezo wa kubeba hadi abiria 90.

Haya magari yako powered na Lithium-ion battery, na tofauti na EV nyingi, yenyewe ni 2-speed automatic transmission.

According to "wao" KMC, battery zao za haya mabasi zina charging circles 3000 kabla ya kuisha kabisa nguvu.

NB: 1 charging circle yao ni 300km so fanya hesabu: 300 times 3000 unapata lifetime kilometa 900,000 kabla battery haijawa haina maana kabisa.

Sio mimi, ni wao.
900,000km kwa brt bus ni kidogo sana. In fact kwa commercial vehicle yoyote 900,000km ni ndogo sana.
 
Ngoja tupige hesabu fupi... Mfano bus liwe linafanya route za Posta (Kivukoni) hadi Kimara Mwisho, Kilometa 17, so kwenda na kurudi Kilometa 34.

Kwa siku akipiga ruti (kwenda-kurudi) mara 10 ni Kilometa 340.

Kwahiyo 900,000 km gawa kwa 340 km/siku unapata siku 2,647 roughly miaka 6-7 ndio battery lifespan.

Ila kwanini wapige chini aya ya mafuta waende EV?

Screenshot_20240604-223556.png
 
mbona hayana lile trailer bus nyuma, au kuna mengine wanatengeneza?

Either way, wakarabati mabasi yaliyopo kwanza
According to KMC, yapo ya model zaidi ya moja. Waliyoyaongelea ni ya mita 6 (haya madogo wanakaa watu 16 hivi) na yapo marefu ya mita 18 haya wanakaa watu 120. Sijui hesabu yao imepigwaje.
 
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).

Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
View attachment 3008469
Mbona hizo basi ndogo sana kiukubwa mwendo kasi za mchina ni kubwa sana na bado haifui dafu kwa nyomi ya dar.
 
Back
Top Bottom