Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).

Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
View attachment 3008469
Pongezi za dhati zimuendee mwamba GT popoma GENTAMYCINE kwa kufanikisha hili. Ndo sababu alikuwa Kampala kwa ajili ya hi shughuli.
 
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).

Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
View attachment 3008469
Watatuuzia Mana bado tumelala.
 
Nidhamu ya kutunza vitu hatuna achilia mbali wizi!!

Kama hatutajirekebisha kwenye hili, tutegemee kuyakuta kwenye maegesho ya kudumu!!
 
Kama hesabu zangu za magazijuto ziko sawa, angalau betri hizo zitatembea miaka 6.

Km 500 kwa siku, gari litembee siku 300 kwa mwaka ni km 150,000.

900,000 ukigawanya kwa 150,000=6. Hii imekaaje? Haitoshi kubadili hizo betri?
Kwanini litembee siku 300? Yaani miezi miwili halitembei? Na betri inatumika hata likiwa silence,limesimama kituoni. Halafu wao wakisema betri litakaa 900,000km ni kwa mujibu wa computer in reality labda 600k tu kulingana na matumizi yetu na mambo mengine. Anyway kwa mwingine hata miaka miwili kubadili betri ni sawa tu.
Imagine ile ya Kimara hawajabadili magari tangu waanze,je haya wataweza?
 
Back
Top Bottom