Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.

SADC nao ndio walishalala kitambo.

================

President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.

In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.

Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda

Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.

“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.

“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”

There is more than what meets the eyes bro!msumbiji is our backyard as mexico is to USA,we know and control every thing that happen in that country!we don t need to broadcast!!border ya mtambaswala sio namanga!
 
Tanzania tumeacha kufanya kazi za kanisa..

Wakiingia anga zetu tutawanyoosha..kama walivyofanya kule mtwara na hawajajaribu tena kurudia kuvamia wananchi.
 
Wenzao wamekuwa busy sana wakifanya rehearsal za kuvunja matofali na kubeba mabegi makubwaa! Sasa hivi wapo tayari kabisa kuingia uwanjani, kutumbuiza na show moja kali sana.
Mashabiki lazima watanyanyuka kutoka kwa viti vyao, wapende wasipende. 😄
 
Wenzao wamekuwa busy sana wakifanya rehearsal za kuvunja matofali na kubeba mabegi makubwaa! Sasa hivi wapo tayari kabisa kuingia uwanjani, kutumbuiza na show moja kali sana. Mashabiki lazima watanyanyuka kutoka kwa viti vyao, wapende wasipende. 😄
😂😂😂😂😂🔥
 
Wenzao wamekuwa busy sana wakifanya rehearsal za kuvunja matofali na kubeba mabegi makubwaa! Sasa hivi wapo tayari kabisa kuingia uwanjani, kutumbuiza na show moja kali sana. Mashabiki lazima watanyanyuka kutoka kwa viti vyao, wapende wasipende. [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe jamaa unatuonea sana
 
Mbona Tanzania imepeleka makamanda Msumbiji wengi tuu na wanakichafua....
Shida tuna jidharau sana hata katika vitu nyeti.
Mfano nchi ya Marekani hawakubali mtu kubeza Jeshi lao na umoja wao wa Ki Amerca
 
Wenzao wamekuwa busy sana wakifanya rehearsal za kuvunja matofali na kubeba mabegi makubwaa! Sasa hivi wapo tayari kabisa kuingia uwanjani, kutumbuiza na show moja kali sana. Mashabiki lazima watanyanyuka kutoka kwa viti vyao, wapende wasipende. [emoji1]
Acha umama. Bonga kitu str8. Afu kama hamjajua kitu nyinyi wakunya bongo sio nchi ya kelele mingi, tabia za nchi zilizoanza na socialism ni tofauti sana na walioanza na capitalism.
Huko msumbiji ni complex hao magaidi wenyewe kuna wabongo. Walianzia huku, kibiti, karibu kabisa na dsm. Wakasambaratishwa all the way to mtwara hadi msumbiji. Rwanda army Tukadhani wamewamaliza, sasa tunasikia Ug nae anataka kwenda, meaning Rwanda hajamaliza kazi, bado wapo kule. Tz has been sending some stuffs, not sure what. Lkn hawajitangazi, na mtwara pako safe kabisa, walikuwepo mtwara, hawapo tena. La maana bongo pako safe na we can handle them wakiingia kwetu, hizo nyenyenyee, pelekeni jeshi yenyu. Hii ni issue complex
 
Mbona unaandika kama ambaye unatetemeka mikono, lini na wapi ulisikia magaidi wamemalizwa, jielimishe kuwa magaidi sio jeshi rasmi, ni watu ndani ya jamii, kile hutendeka ni pale wakiungana na kuanza kuwa jeshi wanapigwa na ndio kitu Rwanda ilikifanya kule baada ya Msumbiji kushindwa na pia nyie kuwa waoga, mkaogopa kwenda kusaidia popote, mnataka tu kupasua matofali kwa kichwa siku za maadhimisho, hao magaidi kuna mara kadhaa wameingina Tanzania ndani na kuchinja Watanzania, bado mnajifariji na vijisababu.

Kusema uwepo wa Watanzania ndani ya hao magaidi eti ndo kijisababu cha nyie kuogopa kwenda kukabiliana nao ni aibu sana, kwani hata sisi tunafahamu kundi kubwa la alshabaab wapo Wakenya, ila tunawafuata huko huko.

Jameni nyie watu bana, yaani magaidi 300 waliingia Tanzania na kumwaga damu ya Watanzania ila bado mkabaki na hizi ngonjera zenu
===================================

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amesema magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoani Mtwara na kufanya uhalifu ikiwemo mauaji.

Vyombo vya habari vya ndani nchini humo kikiwemo Jamii Forums na Mwanahalisi Digital vinaripoti kuwa IGP Sirro ameeleza kuwa wahalifu hao waliowajeruhi vijana watano huku baadhi yao walitoraka na kuacha mitumbwi yao.

Inaelezwa kwamba baadhi ya washukiwa wa tukio hilo wamekamatwa na msako unaendelea.

"Ukifanya uhalifu Tanzania na damu ya Mtanzania haiwezi kwenda hivi. Tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa," amenukuliwa Sirro akisema.

Aidha Bwana Sirro amewasihi vijana kutojiingiza kwenye uhalifu.

Awali, Tanzania ilipeleka vikosi vyake kwenye mpaka kati ya nchi hiyo na Msumbiji baada ya kuibuka kwa mashambulizi yaliyotekelezwa na wanamgambo kutoka kaskazini mwa Msumbiji, wanamgambo ambao wamekuwapo tangu mwaka 2017.
 
There is more than what meets the eyes bro!msumbiji is our backyard as mexico is to USA,we know and control every thing that happen in that country!we don t need to broadcast!!border ya mtambaswala sio namanga!
Wacha ujinga. Kuna ugaidi Msumbiji na Tanzania kwa uwoga wenu mumekataa kutuma majeshi yenu Msumbiji. Kama mumeshindwa kufanya kazi yenu, usishangae wengine wakichukua fursa hio na kutuma majeshi yao.
 
Mh ya Kisangani yanaenda kutokea Cabo?

Jeshi la is a UG na RW kuwa katika uwanja wa vita mmoja ni tatizo hilo. Tutegemee hayo majeshi kujilinda na kujiimarisha yenyewe zaidi kuliki lengo lililowapeleka huko kupigana na ugaidi.

Wanakwenda ku train Navy huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa.... bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.

SADC nao ndio walishalala kitambo...

=======================

President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.

In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.

Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda

Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.

“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.

“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”

Kenya wana maigizo mengi sana, Al Shabaab wanawatoa kamasi hapo nyumbani kwake ila bado utamsikia eti anataka kupeleka jeshi la kulinda amani Congo DRC. Rwanda na Uganda zimeendesha vita vya kihalifu ndani ya Congo DRC ila leo unawasikia ati wako kwenye peace missions. Tz ilishaacha kuwapigania wajinga.
 
Mbona Tanzania imepeleka makamanda Msumbiji wengi tuu na wanakichafua....
Shida tuna jidharau sana hata katika vitu nyeti.
Mfano nchi ya Marekani hawakubali mtu kubeza Jeshi lao na umoja wao wa Ki Amerca
Jeshi lenu halipo Msumbiji. Wacha uongo.
 
Wacha ujinga. Kuna ugaidi Msumbiji na Tanzania kwa uwoga wenu mumekataa kutuma majeshi yenu Msumbiji. Kama mumeshindwa kufanya kazi yenu, usishangae wengine wakichukua fursa hio na kutuma majeshi yao.
Hahahaha, sisi tulipo kwenda DRC kuwatoa M23 ninyi mlikua wapi?, Kwahiyo mnataka kila penye migogoro Afrika na ukanda huu lazima Tanzania tuwepo sio?, mbona ninyi Kenya bado hamjapeleka Jeshi huko Msumbiji?, Eti" mlishindwa kufanya kazi yenu", hiyo ni kazi yetu toka lini?, au kwasababu Tanzania ilikua kitovu cha kuzikomboa nchi za Afrika bado mnadhani pia ni jukumu letu kutunza usalama wa ndani wa hizo nchi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa.... bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.

SADC nao ndio walishalala kitambo...

=======================

President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.

In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.

Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda

Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.

“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.

“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”

Wakiwakamata ni kuwaua tu....wasituletee ujinga wa Kiarab hapa Afrika. Kama wanataka Uarabu waupeleke huko Uarabuni, hapa Afrika tunataka amani tu...masuala ya kimujahadeen na kujilipua huko huko Uarabuni
 
Drc sio jirani yenu ila Msumbiji ni jirani yenu. Ni aibu kubwa kuona kwamba nchi yenu inaogopa kutuma jeshi lenu kuangamiza ugaidi ulio karibu na Tanzania na inabidi nchi zilizo mbali na Mozambique kutuma majeshi yao kwa sababu waoga wamekataa kufanya kazi hio.
Hayo ndio madhara ya kusoma nje ya Africa(Czech Republic), hivi katika nchi nane zinazopakana na Tanzania , hujui kwamba DRC ni mojawapo?.

Yale Yale ninayokuambia kila siku, ninyi mnataka kila kinachofanywa na Kenya kiwe ndio "marking scheme" kwa nchi zingine sio?. Hivi hamjutii Kitendo cha kujipeleka Somalia kichwakichwa hadi Leo Kenya ni nchi inayoongoza Africa kwa terrorism?.

Ukweli ni kwamba, lengo lenu ni kutaka Tanzania iwe miongoni mwa nchi zisizokua na usalama kutokana na mashambulizi ya kigaidi Kama Kenya, Kamwe hatuwezi kuingia katika mtego wa kijinga Kama ninyi, "Tanzanians are the smartest people in this region"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa mnashindwa nini kufanya tafiti kidogo kabla ya kufungua uzi uliojaa upotoshaji na kutoa maoni ya kupotosha?
Au humu jukwaani mpo kwa lengo la propaganda na kupotosha?

@Tony254
We are smarter than you, Kamwe hatuwezi toa maamuzi ya kijinga kuhatarisha usalama wa nchi yetu Kama ninyi mlivyowajinga, sio lazima kupeleka jeshi [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa.... bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.

SADC nao ndio walishalala kitambo...

=======================

President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.

In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.

Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda

Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.

“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.

“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”

Majeshi ya Tanzania yako msumbiji kabla ya rwanda
 
Back
Top Bottom