Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Drc sio jirani yenu ila Msumbiji ni jirani yenu.
🤭🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drc sio jirani yenu ila Msumbiji ni jirani yenu.
Jombaa, sijaitaja Tz wala jeshi lenu. Matusi na mipasho yote hii ni ya nini?Acha umama. Bonga kitu str8. Afu kama hamjajua kitu nyinyi wakunya bongo sio nchi ya kelele mingi, tabia za nchi zilizoanza na socialism ni tofauti sana na walioanza na capitalism.
Huko msumbiji ni complex hao magaidi wenyewe kuna wabongo. Walianzia huku, kibiti, karibu kabisa na dsm. Wakasambaratishwa all the way to mtwara hadi msumbiji. Rwanda army Tukadhani wamewamaliza, sasa tunasikia Ug nae anataka kwenda, meaning Rwanda hajamaliza kazi, bado wapo kule. Tz has been sending some stuffs, not sure what. Lkn hawajitangazi, na mtwara pako safe kabisa, walikuwepo mtwara, hawapo tena. La maana bongo pako safe na we can handle them wakiingia kwetu, hizo nyenyenyee, pelekeni jeshi yenyu. Hii ni issue complex
Eti Kenya inaongoza Afrika kwa terrorism? Akili yako iko sawa kweli?Hayo ndio madhara ya kusoma nje ya Africa(Czech Republic), hivi katika nchi name zinazopakana na Tanzania , hujui kwamba DRC ni mojawapo?.
Yale Yale ninayokuambia kila siku, ninyi mnataka kila kinachofanywa na Kenya kiwe ndio "marking scheme" kwa nchi zingine sio?. Hivi hamjutii Kitendo cha kujipeleka Somalia kichwakichwa hadi Leo Kenya ni nchi inayoongoza Africa kwa terrorism?.
Ukweli ni kwamba, lengo lenu ni kutaka Tanzania iwe miongoni mwa nchi zisizokua na usalama kutokana na mashambulizi ya kigaidi Kama Kenya, Kamwe hatuwezi kuingia katika mtego wa kijinga Kama ninyi, "Tanzanians are the smartest people in this region"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Taja nchi ambaye imeizidi Kenya katika terrorism in East and Central Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti Kenya inaongoza Afrika kwa terrorism? Akili yako iko sawa kweli?
Tanzania inaaskari msumbiji ni miaka sasa ....Mbona unaandika kama ambaye unatetemeka mikono, lini na wapi ulisikia magaidi wamemalizwa, jielimishe kuwa magaidi sio jeshi rasmi, ni watu ndani ya jamii, kile hutendeka ni pale wakiungana na kuanza kuwa jeshi wanapigwa na ndio kitu Rwanda ilikifanya kule baada ya Msumbiji kushindwa na pia nyie kuwa waoga, mkaogopa kwenda kusaidia popote, mnataka tu kupasua matofali kwa kichwa siku za maadhimisho, hao magaidi kuna mara kadhaa wameingina Tanzania ndani na kuchinja Watanzania, bado mnajifariji na vijisababu.
Kusema uwepo wa Watanzania ndani ya hao magaidi eti ndo kijisababu cha nyie kuogopa kwenda kukabiliana nao ni aibu sana, kwani hata sisi tunafahamu kundi kubwa la alshabaab wapo Wakenya, ila tunawafuata huko huko.
Jameni nyie watu bana, yaani magaidi 300 waliingia Tanzania na kumwaga damu ya Watanzania ila bado mkabaki na hizi ngonjera zenu
===================================![]()
IGP Simon Sirro: Magaidi 300 walivamia Kitaya, Mtwara - BBC Swahili
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amesema magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoani Mtwara na kufanya uhalifu ikiwemo mauaji.www.bbc.com
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amesema magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoani Mtwara na kufanya uhalifu ikiwemo mauaji.
Vyombo vya habari vya ndani nchini humo kikiwemo Jamii Forums na Mwanahalisi Digital vinaripoti kuwa IGP Sirro ameeleza kuwa wahalifu hao waliowajeruhi vijana watano huku baadhi yao walitoraka na kuacha mitumbwi yao.
Inaelezwa kwamba baadhi ya washukiwa wa tukio hilo wamekamatwa na msako unaendelea.
"Ukifanya uhalifu Tanzania na damu ya Mtanzania haiwezi kwenda hivi. Tunaendelea kupambana nao ili kuupata mtandao wote ulioanzia kule Kibiti na Rufiji ambao tulipambana nao wakaona wameshindwa," amenukuliwa Sirro akisema.
Aidha Bwana Sirro amewasihi vijana kutojiingiza kwenye uhalifu.
Awali, Tanzania ilipeleka vikosi vyake kwenye mpaka kati ya nchi hiyo na Msumbiji baada ya kuibuka kwa mashambulizi yaliyotekelezwa na wanamgambo kutoka kaskazini mwa Msumbiji, wanamgambo ambao wamekuwapo tangu mwaka 2017.P
Somalia.Taja nchi ambaye imeizidi Kenya katika terrorism in East and Central Africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya wana maigizo mengi sana, Al Shabaab wanawatoa kamasi hapo nyumbani kwake ila bado utamsikia eti anataka kupeleka jeshi la kulinda amani Congo DRC. Rwanda na Uganda zimeendesha vita vya kihalifu ndani ya Congo DRC ila leo unawasikia ati wako kwenye peace missions. Tz ilishaacha kuwapigania wajinga.
Tanzania inaaskari msumbiji ni miaka sasa ....
Kabla ya jeshi la sadec kabla ya rwanda pia
Uwezo wa kijeshi wa magaidi ulishavunjiliwa mbali na na jeshi adhimu JWTZ
Magaidi wamebadilisha mbinu baada ya kubanwa! wanachofanya sasa ni kuviziavizia baada ya kujichanganya na wananchi
wanashughulikiwa na kituo cha upelelezi cha sadec kilichoanzishwa miaka ya karibuni na hq yake imejengwa tanzania 'huku ndipo tulipofika maanaake hata uganda nae akija itakua kazi bure tuu labda aje kuungana na rwanda kwe doria!!
Ila kazi kubwa ilikwisha kufanyika kiasi cha kukamata wafadhili kadhaa na kuuwa viongozi kadhaa ....... mara ya mwisho magaidi kufanya shambulio la kijeshi msumbiji au tz ni lini?
mwisho niseme ni kitu kizuri kushirikiana bila kusukumwa na interest zetu au za mabeberu katika ukanda huu
Sisi hatuna noma ila kwa tunavowajua ...mnazidi kutufanya tujihoji why now? na mlengwa ni nani hasa?
😥kumbe nmeandika pumba😂😂😂 nothing serious ataView attachment 2210992
maneno yako hayabadilishi uhalisia kama umenuna pole sana nya'ngauKwa taarifa zako hapo, kituo mumezindua juzi Februari 2022 baada ya Kagame kusafisha pale, halafu unaandika na maneno mengi ya majigambo, tatizo lenu makelele mengi ila matendo sifuri.
You are very very correct, Kenya comes next to Somalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Somalia.
Don't count Tanzania in EAC when it comes to the matter of security, we are part of SADC, we are participating in Mozambique through SADC, our contributions go through SADC agreementSijui umeandika nini maana hata nikisoma mara tatu hauna mantiki, ila kwa kifupi Tz mumetungusha sana EAC kwa uwoga wenu.
Waulize hao wanapeleka vikosi vyao huko, watakuambia operesheni iliyofanywa na inayofanywa na Tanzania huko Msumbiji.Umesikia tena hao jamaa wanasogelea mpaka wetu na Msumbiji. Magaidi pamoja na waasi wa Mashariki ya Kongo wanajua dawa tunayowapaga.Wenzao wamekuwa busy sana wakifanya rehearsal za kuvunja matofali na kubeba mabegi makubwaa! Sasa hivi wapo tayari kabisa kuingia uwanjani, kutumbuiza na show moja kali sana.
Mashabiki lazima watanyanyuka kutoka kwa viti vyao, wapende wasipende. 😄
Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa.... bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.
SADC nao ndio walishalala kitambo...
=======================
President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.
In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.
Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda
Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.
“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.
“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”
![]()
Museveni proposes regional force to counter Mozambique terrorist threat
President Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in Mozambique.www.theeastafrican.co.ke
Ebu acha kubwabwaja wewe fala
rwanda ipo msumbiji for interest za ufaransa? who doesnt know that ? the whole world knows
Uganda inaenda huko sijui kwa interest ya nan lazma atakua ametumwa tumeona intervention zake zote n za kuwa sponsored kama ilivo somalia na maigizo ilokuwa inafanya somalia kuwafurahisha marekani, n misaada kuprotect US/foreigh interest!!
Hao kenya Al shabab wanafika had Nairobi?? serious hyo nayo iko na jeshi kweli??
huko garisa na mpakan mwa somalia ni kila siku!!…
So kupeleka jeshi for this country is a serious mess !!..wadeal na internal insecurity ya kenya kwanza!!..
Tanzania n low key guy hatutaki headline Hao magaidi walianzia pwani wakafyekwa wakakimbilia msumbiji !!!… wakafanya gurillar attacks kadhaa wakadhibitiwa hawajawai fika dodoma wala dar es salaam wala any city ukiacha na shambulio la kukimbia la vijiji vya mtwara ambapo tayar order imekua restored…
Sisi c nchi yakutengeneza fake news na kufanya biashara ya kupeleka wanajeshi nchi zilizo thousands of km for vijisent kama wanavyoomba UG n Rwand then wana rush kusend their armies to death field
Amini usiamini wanao pigana Congo DRC ni hawa wanaojiita peace keepers.Kenya wana maigizo mengi sana, Al Shabaab wanawatoa kamasi hapo nyumbani kwake ila bado utamsikia eti anataka kupeleka jeshi la kulinda amani Congo DRC. Rwanda na Uganda zimeendesha vita vya kihalifu ndani ya Congo DRC ila leo unawasikia ati wako kwenye peace missions. Tz ilishaacha kuwapigania wajinga.
Museveni kwa kuparamia matreni kwa mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa.... bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia Tanzania na kuchinja wanavijiji.
SADC nao ndio walishalala kitambo...
=======================
President Yoweri Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in the troubled Cabo Delgado region of Mozambique if the security problem is not resolved soon.
In a joint media briefing with Mozambique President Filipe Nyusi, who was on a three-day visit to Uganda starting April 27, President Museveni said a larger regional force would be mobilised because East Africa cannot afford to have a security problem close to its borders.
Read: Mozambique's President Nyusi arrives in Uganda
Uganda has been contributing military equipment since 2017 to support the Mozambican forces battling a group of jihadist terrorists in the northern part of the country.
“If the Cabo Delgado security problem is not solved, we will have to mobilise more and contribute even manpower,” President Museveni said.
“To have a group destabilising Nyasa, Cabo Delgado; that’s not acceptable. East Africa will have to do something like we have done in Congo now.”
![]()
Museveni proposes regional force to counter Mozambique terrorist threat
President Museveni has hinted at the possibility of deploying a large Ugandan force and troops to deal with the insurgency in Mozambique.www.theeastafrican.co.ke