Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

Tanzania ilianza kuwepo Msumbiji kimya kimya kabla ya jeshi la nchi yoyote, na sababu ya kufanya hivyo ilikuwa ni kulinda mpaka wake wa kusini...

Infact Tanzania imekuwa ikipiga doria ukanda huo kwa muda mrefu pengine tokea wakati wa Mkapa au JK...
 
Jombaa, sijaitaja Tz wala jeshi lenu. Matusi na mipasho yote hii ni ya nini?
 
Uganda wanaenda kule siyo kwa ajili ya kuwasaidia Msumbiji. Bali kwenda kumsaidia mwenye hicho kikundi cha Kigaidi ili kiendelee kuwepo. The same to Kenya.
 
Eti Kenya inaongoza Afrika kwa terrorism? Akili yako iko sawa kweli?
 
Tanzania inaaskari msumbiji ni miaka sasa ....
Kabla ya jeshi la sadec kabla ya rwanda pia
Uwezo wa kijeshi wa magaidi ulishavunjiliwa mbali na na jeshi adhimu JWTZ
Magaidi wamebadilisha mbinu baada ya kubanwa! wanachofanya sasa ni kuviziavizia baada ya kujichanganya na wananchi
wanashughulikiwa na kituo cha upelelezi cha sadec kilichoanzishwa miaka ya karibuni na hq yake imejengwa tanzania 'huku ndipo tulipofika maanaake hata uganda nae akija itakua kazi bure tuu labda aje kuungana na rwanda kwe doria!!
Ila kazi kubwa ilikwisha kufanyika kiasi cha kukamata wafadhili kadhaa na kuuwa viongozi kadhaa ....... mara ya mwisho magaidi kufanya shambulio la kijeshi msumbiji au tz ni lini?

mwisho niseme ni kitu kizuri kushirikiana bila kusukumwa na interest zetu au za mabeberu katika ukanda huu
Sisi hatuna noma ila kwa tunavowajua ...mnazidi kutufanya tujihoji why now? na mlengwa ni nani hasa?

😥kumbe nmeandika pumba😂😂😂 nothing serious ata
 

Sijui umeandika nini maana hata nikisoma mara tatu hauna mantiki, ila kwa kifupi Tz mumetungusha sana EAC kwa uwoga wenu.
 

Kwa taarifa zako hapo, kituo mumezindua juzi Februari 2022 baada ya Kagame kusafisha pale, halafu unaandika na maneno mengi ya majigambo, tatizo lenu makelele mengi ila matendo sifuri.
 
Kwa taarifa zako hapo, kituo mumezindua juzi Februari 2022 baada ya Kagame kusafisha pale, halafu unaandika na maneno mengi ya majigambo, tatizo lenu makelele mengi ila matendo sifuri.
maneno yako hayabadilishi uhalisia kama umenuna pole sana nya'ngau
 
Sijui umeandika nini maana hata nikisoma mara tatu hauna mantiki, ila kwa kifupi Tz mumetungusha sana EAC kwa uwoga wenu.
Don't count Tanzania in EAC when it comes to the matter of security, we are part of SADC, we are participating in Mozambique through SADC, our contributions go through SADC agreement

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
..Ugaidi wa Msumbiji chanzo chake ni utawala mbaya wa chama cha Frelimo.

..Nilishangaa sana niliposoma taarifa kwamba wenyeji wa jimbo la Cabo Delgado wanazungumza Kiswahili lugha ambayo wanajeshi wa serikali ya Msumbiji hawaifahamu.

..Raia wa kawaida wa Cabo Delgado anaelewana zaidi na askari wa Rwanda anayezungumza Kiswahili kuliko askari wa Msumbiji anayezungumza Kireno.

..Jambo lingine la kusikitisha ni jinsi jimbo la Cabo Delgado lilivyoachwa nyuma kielimu na kupelekea wazazi wengi kutegemea Madrasa uchwara na za hovyo kuelimisha watoto wao.

..Sasa gharama za uzembe wa chama cha Frelolimo kulitupa mkono kimaendeleo jimbo la Cabo Delgado zinakuja kubebwa na nchi majirani na Msumbiji.
 
Waulize hao wanapeleka vikosi vyao huko, watakuambia operesheni iliyofanywa na inayofanywa na Tanzania huko Msumbiji.Umesikia tena hao jamaa wanasogelea mpaka wetu na Msumbiji. Magaidi pamoja na waasi wa Mashariki ya Kongo wanajua dawa tunayowapaga.
 

Ebu acha kubwabwaja wewe fala
rwanda ipo msumbiji for interest za ufaransa? who doesnt know that ? the whole world knows

Uganda inaenda huko sijui kwa interest ya nan lazma atakua ametumwa tumeona intervention zake zote n za kuwa sponsored kama ilivo somalia na maigizo ilokuwa inafanya somalia kuwafurahisha marekani, n misaada kuprotect US/foreigh interest!!

Hao kenya Al shabab wanafika had Nairobi?? serious hyo nayo iko na jeshi kweli??
huko garisa na mpakan mwa somalia ni kila siku!!…
So kupeleka jeshi for this country is a serious mess !!..wadeal na internal insecurity ya kenya kwanza!!..

Tanzania n low key guy hatutaki headline Hao magaidi walianzia pwani wakafyekwa wakakimbilia msumbiji !!!… wakafanya gurillar attacks kadhaa wakadhibitiwa hawajawai fika dodoma wala dar es salaam wala any city ukiacha na shambulio la kukimbia la vijiji vya mtwara ambapo tayar order imekua restored…

Sisi c nchi yakutengeneza fake news na kufanya biashara ya kupeleka wanajeshi nchi zilizo thousands of km for vijisent kama wanavyoomba UG n Rwand then wana rush kusend their armies to death field
 

Nyie endeleeni kujificha nyuma ya mgongo wa uwoga wa "low key" wakati wababe wanakwenda kuhakikisha usalama, ifike mahali muone aibu. Mnategemea kulindwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wenu mmoja.......
 
Amini usiamini wanao pigana Congo DRC ni hawa wanaojiita peace keepers.
 
Museveni kwa kuparamia matreni kwa mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Museveni ana mambo, nakumbuka alivamia treni la corona akafungia nchi na shule akazifunga mwaka mzima na zaidi

Akavamia treni la kujenga shule huko chato, Waganda wakabaki wameduwaa maana shule angeweza wajengea Waganda maana nao wana shida na elimu

Sasa anadandia treni la magaidi msumbiji

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…