Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

Na wamewatumia tu Balozi wa hapo Dar kwenda Msibani.. Alafu mnawaita eti ni ndugu. Pumbavuuu
Yaani hata hawa majirani zenu wanaowapenda wameshindwa kutuma naibu rais au hata waziri wa mambo ya nje? Wakatuma balozi wao aliye Dar? Na hawa ndio marafiki zenu wa karibu? Inashangaza sana.

Cc Geza Ulole
 
Tafakuri?
Hivi Kabla ya Wazungu ku grab na kugawana nchi za Africa " Scramble & Partition for Africa" ( Berlin Conference chini ya Bismark)
WaKenya au Watanzania walikua ni maadui???
Wakati wazungu wanahangaika kuungana ( European Union); United States of America
Sisi Tunabaguana !!
 
hajali ndugu zake zaidi ya pesa kwa kwenda mbele huo ni ujanja mavi
Km ingelikua hajali ndugu zake basi asingeliwapea offer ya kuingia na vitambulisho pekeake kw raia wa EAC..
Tatizo nyie ndugu mnafiki mkakataa huku ndugu yetu mdogo uganada akiteleza
 
Bado una roho ya Tomaso juu ya mradi wa EACOP? Total walipochagua Tanzania over Kenya juu ya stability walimaanisha pata picha Uhuru anavuta leo yaani lazma Jubilee Ruto faction na Jubilee Uhuru wapigane ukiacha pia wazee wa ODM pia! Unabisha?

Tony254
 
Well put.[emoji106]
 
Hii history nani kaandika?
Piece of garbage
Ni kweli.. Kwenye Operation Entebbe Kenya ndo ilisaidia Israel kwenda kuokoa raia wake huko Uganda at the same time Gaddafi alikuwa upande wa Iddi Amin Dada akimpa silaha wakati wa vita yetu na Uganda, But here we all know aliekuwa na tatizo ni Iddi Amin sio Uganda.
 
peleka upumbavu! Jinga wewe! sema ni "ndugu zako wewe"! linchi lenye husda lina ugomvi na Somalia ila kila siku media zao zinautaja mpaka wa Tanzania! hell no!
Nani ana urafiki na Somalia? MASHIFTA wale ni kizazi cha Kaini hawafai kabisa
 
Hakuna Ndugu wa Tanzania kama Kenya, ndio maana hata Rais Samia alimtaja Kenyatta katika hotuba. Sisi ni ndugu tunaooneana wivu ambayo ni kawaida
 
Kenya hii hii? media coverage is a very little gesture! U can't measure someone deeds out of burial coverage! Wacha kuhadaika mzee! media shows what sells!

CC: Tony254
ndugu zetu wa ukweli ni wenzetu wa SADC, Kenya wapo kimasilahi tu, kenyatta kaja kutafuta sympathy kwa mama Samia baada ya kuproof failure kwa mzalendo namba moja Dr Magufuli
 
nawaambieni tena, kenya hawajawahi kuwa marafiki zetu wa kweli na kamwe hawatakaa wawe marafiki. Tuendelee kuijenga SADC, good future is blooming
SADC Kama South Africa ambapo huwa wanafurumusha Weusi wenzao hasa kutoka EA ( Tz, Kenya & UG) kwa Kigezo cha kuwaingilia kazi za wazawa
Kama hujawahi kukaa South Africa
Jaribu kosoma kitu inaitwa Xenophobia in south Africa"
 
nawaambieni tena, kenya hawajawahi kuwa marafiki zetu wa kweli na kamwe hawatakaa wawe marafiki. Tuendelee kuijenga SADC, good future is blooming
SADC Kama South Africa ambapo huwa wanafurumusha Weusi wenzao hasa kutoka EA ( Tz, Kenya & UG) kwa Kigezo cha kuwaingilia kazi za wazawa
Kama hujawahi kukaa South Africa
Jaribu kosoma kitu inaitwa Xenophobia in south Africa"
 
peleka upumbavu! Jinga wewe! sema ni "ndugu zako wewe"! linchi lenye husda lina ugomvi na Somalia ila kila siku media zao zinautaja mpaka wa Tanzania! hell no!
asikusumbue,huyo ni mkenya MK254 huyo
 
Usiingilie ugomvi usioujua.
Kipindi wanadhlumiana Dhahabu za wanyonge ilikuwepo?
Kagame ndie aliekua rafiki wa Magufuli namba moja,baada ya Kagame kumhukumu dhahabuzetu urafiki unaisha.
Maombolezo ya nini ss unataka.
 
ndugu zetu wa ukweli ni wenzetu wa SADC, Kenya wapo kimasilahi tu, kenyatta kaja kutafuta sympathy kwa mama Samia baada ya kuproof failure kwa mzalendo namba moja Dr Magufuli
SADC pia wanaongea Kiswahili?
kubali tuu kwamba Kenya ndio Big Brother wa Afrika Mashariki na Kati akifuatiwa na Tanzania kisha Uganda.
Tanzania siku zote ni ndugu mwenye wivu kwa mafanikio ya Kenya ila Kenya huwa hana time nae. Kenya anampuuzilia mbali na kuendelea kuchana misamba.
 
Hivi ukiachana na Kenya vs Tanzania NA Nigeria vs Ghana... Ni nchi gani zingine ni watani?

Kenya kwangu mimi ni ndugu Kabisa,nime experience tukikutana huko nje, Mkenya na Mganda kuna tofauti

Zambia na Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…