Hahaha mwenzako Geza Ulole alikuwa anasema kwamba Total watatumia Dar port kusafirisha mizigo ya Uganda. Sijui anatumia ugali badala ya ubongo kufikiria au nini?Lkn it makes sense, wangekuwa wajinga kama wangechagua Dar, kuna Infrastructure tayari tanzia enzi za British East Afrika ya Kenya-Uganda Railway, sasa watumie Dar Port ili iweje ? Hiyo mizigo itasafirishwa na dala dala hadi Kampala au ?
Kuna sababu kwa nini inaitwa Uganda Railway !
Hahaha mwenzako Geza Ulole alikuwa anasema kwamba Total watatumia Dar port kusafirisha mizigo ya Uganda. Sijui anatumia ugali badala ya ubongo kufikiria au nini?
Lakini bomba wanajenga wapi hiyo ni Kwa muda lakini huwezi kufananisha faida ya Bomba na yenu.Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.
Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.
Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.
Wanajenga viwanda ili kusafirisha mafuta kupitia Tanzania mapato tutakayo ingiza ni mara Mia ya yenu.Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.
Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.
Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.
hata EACOP mlisema hivi!Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.
Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.
Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.
Kumbuka asilimia nyingi ya mradi unafanyika Tanzania kwa hiyo vifaa vya Tanzania vitapitia Tanzania.Tuliliona hili mapema sana,tz is no more
Mimi sikubaliani kamwe na kauli yako kwamba 80% ya mradi utakuwa Tanzania na 20% utakuwa Uganda. Hio ni ukweli ikiwa unaongea kuhusu mradi wa EACOP pekee. Mimi siongei kuhusu EACOP naomba unielewe, mimi naongea kuhusu viwanda vikubwa vya kuzalisha mafuta vitakavyojengwa Uganda. Viwanda hivi viwili vinaitwa Kingfisher na Tilenga na asilimia mia moja ya miradi hizi zitajengwa Uganda. Nyie share yenu ni pipeline tu ila mradi huu ni mkubwa na pipeline ni asilimia ndogo sana ya mradi wote.Kumbuka asilimia nyingi ya mradi unafanyika Tanzania kwa hiyo vifaa vya Tanzania vitapitia Tanzania.
Huo mradi ni mkubwa kuliko port ya chongoleani? Usifikiri watatumia port iliopo, ni port mpya kabisa inajengwa yenye facilities za kutunza mafuta ya 1 week, kumbuka flow ya mafuta ya siku 1 ni pipa 216kMimi sikubaliani kamwe na kauli yako kwamba 80% ya mradi utakuwa Tanzania na 20% utakuwa Uganda. Hio ni ukweli ikiwa unaongea kuhusu mradi wa EACOP pekee. Mimi siongei kuhusu EACOP naomba unielewe, mimi naongea kuhusu viwanda vikubwa vya kuzalisha mafuta vitakavyojengwa Uganda. Viwanda hivi viwili vinaitwa Kingfisher na Tilenga na asilimia mia moja ya miradi hizi zitajengwa Uganda. Nyie share yenu ni pipeline tu ila mradi huu ni mkubwa na pipeline ni asilimia ndogo sana ya mradi wote.