Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.

Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.

Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.

Lkn it makes sense, wangekuwa wajinga kama wangechagua Dar, kuna Infrastructure tayari tangia enzi za British East Afrika ya Kenya-Uganda Railway, sasa watumie Dar Port ili iweje ? Hiyo mizigo itasafirishwa na dala dala hadi Kampala au ?

Kuna sababu kwa nini inaitwa Uganda Railway !
 
Lkn it makes sense, wangekuwa wajinga kama wangechagua Dar, kuna Infrastructure tayari tanzia enzi za British East Afrika ya Kenya-Uganda Railway, sasa watumie Dar Port ili iweje ? Hiyo mizigo itasafirishwa na dala dala hadi Kampala au ?

Kuna sababu kwa nini inaitwa Uganda Railway !
Hahaha mwenzako Geza Ulole alikuwa anasema kwamba Total watatumia Dar port kusafirisha mizigo ya Uganda. Sijui anatumia ugali badala ya ubongo kufikiria au nini?
 
Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.

Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.

Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.

Lakini bomba wanajenga wapi hiyo ni Kwa muda lakini huwezi kufananisha faida ya Bomba na yenu.
 
Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.

Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.

Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.

Wanajenga viwanda ili kusafirisha mafuta kupitia Tanzania mapato tutakayo ingiza ni mara Mia ya yenu.
 
Ni chini ya 20% ya mradi huu utafanyika Uganda, ni lazima watumie most common and shortest route ya Uganda since zaidi ya 70% ya mzigo wa Uganda unapita Mombasa

Ila kwa mzigo utakaotumika kujenga upande wa Tanzania, ondoa Mombasa kichwani sababu sio tu Dar itakua the viable route bali mkataba wa ujenzi unawalazimisha kutumia bandari za Tanzania.

Ikumbukwe Tanzania ndio mnufaikaji mkubwa wa mradi huu kwa kila kitu.
 
Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.

Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.

Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.

hata EACOP mlisema hivi!
 
Kumbuka asilimia nyingi ya mradi unafanyika Tanzania kwa hiyo vifaa vya Tanzania vitapitia Tanzania.
Mimi sikubaliani kamwe na kauli yako kwamba 80% ya mradi utakuwa Tanzania na 20% utakuwa Uganda. Hio ni ukweli ikiwa unaongea kuhusu mradi wa EACOP pekee. Mimi siongei kuhusu EACOP naomba unielewe, mimi naongea kuhusu viwanda vikubwa vya kuzalisha mafuta vitakavyojengwa Uganda. Viwanda hivi viwili vinaitwa Kingfisher na Tilenga na asilimia mia moja ya miradi hizi zitajengwa Uganda. Nyie share yenu ni pipeline tu ila mradi huu ni mkubwa na pipeline ni asilimia ndogo sana ya mradi wote.
 
Huo mradi ni mkubwa kuliko port ya chongoleani? Usifikiri watatumia port iliopo, ni port mpya kabisa inajengwa yenye facilities za kutunza mafuta ya 1 week, kumbuka flow ya mafuta ya siku 1 ni pipa 216k
 
Back
Top Bottom