Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta.
Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu kuu ya Uganda kuchagua port ya Mombasa kupokea mizigo hio. Mizigo hio itakuwa na uzito wa tani 500,000.
Kenya tutapokea mihela kwa sababu port yetu iko fast and efficient, barabara zetu nazo ni za hali ya juu ukilinganisha na utopolo uliopo kwenye jirani.