Uganda yafuta sheria iliyokuwa inapinga ndoa za jinsia moja

Mabwabwa naona watakuwa wanashangilia muda huu wa kuruhusiwa kufanya dhambi.
 
Nyani Ngabu naomba nikuulize kwa ustaarabu kabisa. Je wewe hili jambo kwako unaona ni sahihi? Je wewe ni mtetezi wa hao minority? Kwa utashi wako wa kumuogopa MUNGU unadhani ni sahihi kushabikia matendo ya Kishoga?
Kama nitakuwa nimekukera pls nisamehe........daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
na mimi najibu kama ivi;mimi siungi mkono tendo la kishoga ila naunga mkono haki zao...ni sawasawa na mwizi alieiba mtaani kwenu mnaomba tusichukue sheria mkononi....in addition kukubali ama kukataa kutambu ahaki zao kama binadamu wengine hakutaondoa ivyo vitendo,vipo n avitaendelea kuwwepo...we need a sign of maturity handling these stuffs...

kwa taarifa yako tu vitendo vya kishoga siku izi wala hutaweza kumtambua mtu kwa muonekano wake;wapo vijana smart,wana elimu zao,kazi zao nzuri,familia ya mke na watoto na on the backside wanaliwa ndogo japo kwa siri sana....sasa how do u handle someone like this!!utmjuaje kwanza.....

mwisho kinachotakiwa hapa ni elimu,tuache kuoneana aibu tupaze sauti vijana wetu wajitambue ipasavyo,watambue wajibu wao na majukumu yanayowazunguka.ukimya na kukemea kwa jazba wont clear bills on the table
 
Na si ajabu Serikali ya Museven itakuwa wamewaandikia akina Obama na washirika wake barua ya kuomba radhi na kuahidi kuonyesha ushirikiano kwa lolote watakalotakiwa kufanya.
 
Nyani Ngabu naomba nikuulize kwa ustaarabu kabisa.

Naam, kama unataka kujadili mambo kwa ustaarabu sina shida kabisa na nashukuru kwa hilo.

Je wewe hili jambo kwako unaona ni sahihi?

Binafsi sipendi kabisa hayo mambo. Lakini, kwa vile tu mimi siyapendi hiyo haina maana ya kwamba kama wapo wanaoyapenda basi ndo nianze kuwafuatilia, kuwanyanyasa, na kuwanyanyapaa. Kila mtu na maisha yake. Kama mtu jambo hulipendi basi achana nalo, kaa nalo mbali kabisa.

Kwa hiyo kwangu mtu kuwa shoga mimi hiyo haininyimi raha, hainikoseshi usingizi, wala hainizibii riziki yangu. Aidha, kama wahusika wa huo ushoga ni watu wazima, mimi sina shida nao kabisa ili mradi tu wakae mbali na anga zangu. Sinaga mambo ya kufuatilia maisha ya watu. Yaliyomo kwenye maisha yangu yananitosha.

Kwani wewe huwa unaathirika vipi endapo wanaume wawili wakiamua kuingiliana kimwili kwenye faragha ya makazi yao?

Je wewe ni mtetezi wa hao minority?

Mimi ni mtetezi ubinadamu. Binadamu ambaye hajamdhuru wala kumtendea kosa binadamu mwingine yeyote yule hastahili kuadhibiwa kwa kuamua kuishi maisha yake apendavyo yeye.

Hata ikitokea nione wewe unanyanyapaliwa kwa lolote lile nitakutetea tu ili mradi uwe hujamfanyia ubaya mtu mwingine.

Kwa utashi wako wa kumuogopa MUNGU unadhani ni sahihi kushabikia matendo ya Kishoga?

Mimi ni agnostic na siwezi kumwogopa mtu au kitu ambacho hakuna ushahidi kuwa kipo.

Kama nitakuwa nimekukera pls nisamehe........daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wala hujanikera. Nirudie tu tena kukushukuru kwa ustaarabu uliouonyesha katika kuuliza maswali yako.
 
kipi usichoelewa apo

...ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.
Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).
 
kukaza kote huko yaani ameachia yaani hao mashoga wanataka kutuzidi nguvu.....imefika wakati nchI za afrika ziwache kutegemea misaada ya magharibi maana tunapangiwa mambo ya kufanyaaa na tufate matakwa yao, afrika ina natural resorces nyingi ambazo tukiweza zitumiaa tunaweza jiendeshaaa wenyewe....ila kwa sasa hakunaaa strong leadership wengi legelege, wabinafsi (wanajali maslahi yao na ya watu fulani) kwa style hi hata hao marais wa wafrica wataambiwa wabandu...... wenyewwe kwa wenyewe ndy wapewe msaada
 
nimemjibu simpo tu kwamba yeye at.[o]mbe ile sehem sahihi .iyo nyingine awaachie hao mashoga watajuanana Mungu wao....ujue kitakachotuua bongo ni unafiki tu..nawapenda wazungu wapo straight foward..kukubali haina maana ur a folower....

Halafu, why is it so hard to let people live their lives the way they want so long as they don't hurt anybody?
 
Naam, kama unataka kujadili mambo kwa ustaarabu sina shida kabisa na nashukuru kwa hilo.

Binafsi sipendi kabisa hayo mambo. Lakini, kwa vile tu mimi siyapendi hiyo haina maana ya kwamba kama wapo wanaoyapenda basi ndo nianze kuwafuatilia, kuwanyanyasa, na kuwanyanyapaa. Kila mtu na maisha yake. Kama mtu jambo hulipendi basi achana nalo, kaa nalo mbali kabisa.

Kwa hiyo kwangu mtu kuwa shoga mimi hiyo haininyimi raha, hainikoseshi usingizi, wala hainizibii riziki yangu. Aidha, kama wahusika wa huo ushoga ni watu wazima, mimi sina shida nao kabisa ili mradi tu wakae mbali na anga zangu. Sinaga mambo ya kufuatilia maisha ya watu. Yaliyomo kwenye maisha yangu yananitosha.

Kwani wewe huwa unaathirika vipi endapo wanaume wawili wakiamua kuingiliana kimwili kwenye faragha ya makazi yao?

Mimi ni mtetezi ubinadamu. Binadamu ambaye hajamdhuru wala kumtendea kosa binadamu mwingine yeyote yule hastahili kuadhibiwa kwa kuamua kuishi maisha yake apendavyo yeye.

Hata ikitokea nione wewe unanyanyapaliwa kwa lolote lile nitakutetea tu ili mradi uwe hujamfanyia ubaya mtu mwingine.

Mimi ni agnostic na siwezi kumwogopa mtu au kitu ambacho hakuna ushahidi kuwa kipo.

Wala hujanikera. Nirudie tu tena kukushukuru kwa ustaarabu uliouonyesha katika kuuliza maswali yako.

Kwahiyo hata ukiambiwa mzazi wako wa kiume, mwanao au kaka yako ni shoga we unachekelea tu na kuzidi kuwapongeza!!?
 
kwa taarifa yako tu vitendo vya kishoga siku izi wala hutaweza kumtambua mtu kwa muonekano wake;wapo vijana smart,wana elimu zao,kazi zao nzuri,familia ya mke na watoto na on the backside wanaliwa ndogo japo kwa siri sana....sasa how do u handle someone like this!!utmjuaje kwanza.....

Case in point...The Catholic Church's sex abuse scandal!
 
Kwahiyo hata ukiambiwa mzazi wako wa kiume, mwanao au kaka yako ni shoga we unachekelea tu na kuzidi kuwapongeza!!?

Ni wazi sitachekelea wala kuwapongeza lakini pia sitawakata mapanga na kuwachoma moto.

Wewe ukiambiwa hivyo utafanya nini?
 
nimemjibu simpo tu kwamba yeye at.[o]mbe ile sehem sahihi .iyo nyingine awaachie hao mashoga watajuanana Mungu wao....ujue kitakachotuua bongo ni unafiki tu..nawapenda wazungu wapo straight foward..kukubali haina maana ur a folower....
lazima ujueeeee hao mashogaaaaa hawatakiwi kabisa kuoewa nafasi katika jamiiii kwani wana haribu watoto kwa kuwaingiziaaa katika makundi kama wao, shoga syo mstarabu hata siku mojaaa mimi shogaa akinileteaaa usen.... wake namkataa vibaooooo au mtu eti awatete mapungaaaa namfanyaaaa hivyohivyo, back to our topic serikali lazimaa iwabane mashogaaaa syo kuwaruhusu wajiachieeeee tu mpakaa wao wanajionaa wako sawa na upumbavu wao......wanaofanya kumbuka kuna watoto wanakiwa wao wakiona hayo wataona sawa tu.kwa hyo lazima tuwa dhibiti......
 
Kwa hiyo kwangu mtu kuwa shoga mimi hiyo haininyimi raha, hainikoseshi usingizi, wala hainizibii riziki yangu. Aidha, kama wahusika wa huo ushoga ni watu wazima, mimi sina shida nao kabisa ili mradi tu wakae mbali na anga zangu. Sinaga mambo ya kufuatilia maisha ya watu. Yaliyomo kwenye maisha yangu yananitosha.

Kwa mfano ikitokea kaka yako au mdogo wako au mwanao wa kumzaa mwenyewe akiamua kuwa shoga haitakunyima raha.. kukukosesha usingizi wala kukuzibia riziki yako..?
 
Long live Robert Mugabe ......... soma hapa chini ujue huyu mtu anastahili heshima ya aina yake ........

'This nonsense from Europe, keep their homosexual nonsense there and not cross over with it.'

Mugabe added: 'We did not fight for this Zimbabwe so it can be a homosexual territory. We will never have that here and if there are any diplomats, who will talk of any homosexuality, just tell me. We will kick them out of the country without any excuse. We won’t even listen. Any signal that they are homosexual we kick them out of the country before sunset.

Mugabe also made other threats. 'If you pass a law that rejects homosexual marriages, we will punish you like what they are doing to Uganda and us. And they say they want you to believe that if a man gets another man and they have a homosexual relationship, they have human rights to do so.' 'But that act is inhuman. It’s not human and human rights cannot derive from acts, which are inhuman. That does not exist in jurisprudence.'

Mugabe also said: 'What is wrong is wrong and cannot be right but they say no, human beings are free to marry each other, and look at the absurdity of it all, when God created the world, we learned from the Bible, He created animals, forests, lastly He created man. Because man was lonely, He got from the side of man, a rib and created a woman...that’s the start of society as we know it from the bible.'

huyo kiongozi hataki masihara
 
Kwa mfano ikitokea kaka yako au mdogo wako au mwanao wa kumzaa mwenyewe akiamua kuwa shoga haitakunyima raha.. kukukosesha usingizi wala kukuzibia riziki yako..?

Ikitokea hivyo ni wazi nitakosa furaha lakini hakika sitamkata mapanga wala kumchoma moto.
 
Naam, kama unataka kujadili mambo kwa ustaarabu sina shida kabisa na nashukuru kwa hilo.

Binafsi sipendi kabisa hayo mambo. Lakini, kwa vile tu mimi siyapendi hiyo haina maana ya kwamba kama wapo wanaoyapenda basi ndo nianze kuwafuatilia, kuwanyanyasa, na kuwanyanyapaa. Kila mtu na maisha yake. Kama mtu jambo hulipendi basi achana nalo, kaa nalo mbali kabisa.

Kwa hiyo kwangu mtu kuwa shoga mimi hiyo haininyimi raha, hainikoseshi usingizi, wala hainizibii riziki yangu. Aidha, kama wahusika wa huo ushoga ni watu wazima, mimi sina shida nao kabisa ili mradi tu wakae mbali na anga zangu. Sinaga mambo ya kufuatilia maisha ya watu. Yaliyomo kwenye maisha yangu yananitosha.

Kwani wewe huwa unaathirika vipi endapo wanaume wawili wakiamua kuingiliana kimwili kwenye faragha ya makazi yao?

Mimi ni mtetezi ubinadamu. Binadamu ambaye hajamdhuru wala kumtendea kosa binadamu mwingine yeyote yule hastahili kuadhibiwa kwa kuamua kuishi maisha yake apendavyo yeye.

Hata ikitokea nione wewe unanyanyapaliwa kwa lolote lile nitakutetea tu ili mradi uwe hujamfanyia ubaya mtu mwingine.

Mimi ni agnostic na siwezi kumwogopa mtu au kitu ambacho hakuna ushahidi kuwa kipo.

Wala hujanikera. Nirudie tu tena kukushukuru kwa ustaarabu uliouonyesha katika kuuliza maswali yako.
Shoga siku zote ni mharibifu wa watoto wadogo,ambao hawajafikia umri wa kuamua lipi la kufuata na lipi la kuacha.Mashoga wengi wanaanzishwa ushoga na mashoga wakubwa wanapokuwa watoto.Unapoutetea ushoga,ujuwe moja kwa moja unavunja haki ya mtoto.
Vile vile mashoga ni nguvu kazi ambayo,inakuwa haina kazi tena,shoga huwa amelegea,mawazo,akili,fikira,mtizamo na ni mlemevu wa akili.
Unapomtete shoga,unakasema unatetea haki ya kibinadamu,je wanaopinga ushonga,hawana haki ya kibinadamu?
 
Sio kosa lako...umekariri wale mashoga wa magomeni...mambo yamebadilika sana siku izi..kaa na watu ..ukishajua kuna nini sasa ndio uje tuongee nini ch akufanya.

mashoga siku izi wana kazi zao,wanawake zao na watoto,na wengine ni mabosi wako apo....na wala huezi mdhania.huumziki ni mzito kuliko unavyofikiri
 
Back
Top Bottom