Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Shoga siku zote ni mharibifu wa watoto wadogo,ambao hawajafikia umri wa kuamua lipi la kufuata na lipi la kuacha.
Wanaoharibu watoto wadogo sio mashoga. Wanaoharibu watoto wadogo ni sexual predators.
Mashoga wengi wanaanzishwa ushoga na mashoga wakubwa wanapokuwa watoto.Unapoutetea ushoga,ujuwe moja kwa moja unavunja haki ya mtoto.
Naomba source, tafadhali.
Vile vile mashoga ni nguvu kazi ambayo,inakuwa haina kazi tena,shoga huwa amelegea,mawazo,akili,fikira,mtizamo na ni mlemevu wa akili.
Lete vyanzo vya kisayansi vya haya madai yako.
Unapomtete shoga,unakasema unatetea haki ya kibinadamu,je wanaopinga ushonga,hawana haki ya kibinadamu?
Hakuna mtu aliyekatazwa kupinga. Kupinga nayo ni sehemu ya haki za kibinadamu.
Tatizo ni pale ambapo hao wanaopinga kutaka kuwadhuru na kuwaadhibu mashoga kisa tu wao ni mashoga.