Uganda yafuta sheria iliyokuwa inapinga ndoa za jinsia moja

On this, I am with Nyani Ngabu all the way. Mimi sio homosexual ila sijioni kama nina haki ya kuhukumu walio hivyo, who am I to do that? But surprisingly watu wengine eti wanakua offended mpaka kuwapiga as if they are THAT righteous... Live and let live.
 
binafsi nimefurahishwa na hatua hiyo.. labda sio kwa sababu ya kitendo chenyewe bali kwakua niliona inalenga kumjenga kisiasa mfalme Mu7.. na nadhani viongozi wa uganda wameonja rangi ya maisha magumu na uchumi mbovu.Na wameweza kudhihirisha undumilakuwili wa viongozi wa afrika na uhalisia wa mambo.

.ila ujanja ama busara imetumika katika kusema idadi haitoshi.. anyway hata kama idadi haitoshi hii pia inatoa picha kwamba wanaounga mkono ushoga ni wengi kuliko wanaopinga.. yote kwa yote uganda itakuwa imesalimu amri. chezea mzungu: Waarabu wana mafuta lakini amezidiwa kete na wazungu, itakuwa wewe mtu mweusi hata rasilimali huna unaishia kuiba za kongo.shwain.
 
Kuna bwana mmoja ana imani museveni atarudisha hiyo sheria. Sina uhakika sana. Ila naona kama ame surrender na ili asionekane kawa coward na pilton wamemshauri aseme kulikuwa na matatizo ya kiufundi wakati wa kuunda sheria husika. Msilitazame swala la ushoga kwa juu juu tu,mkadhani wakiruhusiwa basi litaishia kwa hao wanaofanya mambo hayo tu. Kama alivyosema mchangiaji wa awali,hawa jamaa hawataishia hapo,watataka uwakilishi na recognition kwenye taasisi mbalimbali na equal representation hata bungeni. Itaenda itaingia mpaka kwenye familia ya kila mmoja wetu hapa, sasa usishangae baba ako analiwa kiboga,au mdogo wako wa kiume anamla kiboga kaka yake,au mjomba wako anamla kiboga mwanao wa kiume. Itakua toka ngazi ya kila familia mpaka taifa mpaka dunia yote. Wanawake wasaganaji nao watakuja na movements zao,pia itafikia mahala hata mkeo wa ndoa akijisikia kusagwa na wifi yake ambae ni dada ako hutakiwi kumbugudhi kwani atakushtaki,mwanao wa kike anaweza swaga hata na shangazi yake ambae ni dada ako. Ndugu zangu,mtakasirika? Mtawashtaki? Haitawezekana tena. Maana haki zao zitakuwa zimetapakaa kila mahari na hamtaruhusiwa kabisa kuwabugudhi. Think about that, tuzuie hili swala mapema kabla halijawa janga (samaki mkunje?............................). Hata kosa la incest kwenye Sexual Offences Act litafutwa. Tutakulana mpaka mwisho. Sex haitakuwa na nidhamu tena. Kumbuka too much of anything is harmful. Ikiwa ujinga huo utaruhusiwa basi mi nawasihi watu wa makundi mbali mbali ktk jamii nao kupaza sauti na kupigania haki zao, wakiwemo mateja,wavuta bangi,prostitutes (makahaba), etc....maana itakuwa inamaanisha kuwa kila mtu sasa anaweza kudai uhuru wa kufanya jambo analosikia linampa raha na kumnufaisha yeye binafsi. Sasa tuone mwisho wa hii Dunia.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ile sheria iliyosainiwa na raisi Msevini wa Uganda inayopiga marufuku ushoga imesitishwa na mahakama kuu ya Uganda
 
Nimeisikia Hii habari Deuch welle leo asubuhi imeniuma mno. Jana tumehost mkutano wa mashoga Serena hotel tunaipeleka wapi nchi? Kwa mzazi asiye na mtoto wa kiume hawezi kuelewa hili
 
M7 si aliikataa hiyo sheria ya mapenzi ya jinsia moja? Kwamba hataki kusikia hayo mambo sasa iweje mahakama iifute wakati hata yeye haitaki?
 
ile sheria iliyosainiwa na raisi Msevini wa Uganda inayopiga marufuku ushoga imesitishwa na mahakama kuu ya Uganda

Mbona habari iko nusu, mi bado sijaelewa hapo imebadilishwa vp, ushoga umeruhusiwa au?
 
Hata miye nimesikia hii.Huyo hakimu anatakiwa aangalie upya uamuzi wake. MUNGU si wakuchezewa kiasi hicho cha kuona ushoga iwe kazi halali nchini Uganda. Kama yy ni shoga bora akaombe uraia nchi zinazoshabikia ushoga aishi huko kuliko kuifanya Uganda iwe ya mashoga ...!
 
acheni unafiki kama mashoga wafungwe basi na watu tukizini tufungwe pia.
 
Huyo hakimu uenda na yeye ni shoga hivyo ameona atakosa utamu wake. jambo hili ni baya sana hata kama ni hakimu alitakiwa kuangalia kwa undani zaidi kwa kufikiria kama ndo yeye anaolewa au mtoto wake wa kiume anaolewa na mwanaume angejisikiaje? lazima atakuwa nae ni shoga. wanajamii F, lamsingi tunapo muomba Mungu maitaji yetu ya kila siku tukumbuke na kuiombea nchi ya Uganda tafadhari.
 
Sipati picha siku Moja nine vijana wetu wakikatiza mitaa ya DSM na kwingineko wakiwa hivi 1406955371003.jpg au uwafume mahali wa kiwa hivi1406955438132.jpg
 
Mahakama ya kikatiba nchini Uganda yafuta sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja iliyosainiwa na Rais Yoweri Museven february yadai si halali.[/QUOTE]

Mkuu sielewi
Kwahiyo mahakama imepiga chin I maamuzi ya kibabe ya museven
Ndo kusema sasa Uganda kuoana midume poah tu
Duuh Ni noma
Kelele za mlango hazimzuii mwenye Nyumba kupata usingizi
 
Back
Top Bottom