mkagulu original
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 703
- 172
ungese!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe unadinywa?!!!a.k.a bwabwa?
Hapana mimim sidinywi. Lakini kama wewe unadinywa, kama babako anadinywa, kama mjomba'ako anadinywa, kama wewe na baba'ako mnadinyana na kadhalika, mimi huko kudinywa na kudinyana kwenu hakunisumbui kabisa. Endeleeni kudinyana tani yenu.
Umemsahau babu yake, baba yake mdogo, na majirani zake wanaume.
Hapana mimim sidinywi. Lakini kama wewe unadinywa, kama babako anadinywa, kama mjomba'ako anadinywa, kama wewe na baba'ako mnadinyana na kadhalika, mimi huko kudinywa na kudinyana kwenu hakunisumbui kabisa. Endeleeni kudinyana tani yenu.
mbona unasapoti ufilauni..unataka jamii ione ushoga ni jambo la kawaida??!!km hudinywi why unasapoti uchafu huu badala ya kukemea??tell us
sasa ukitaka kujua hata hao wanaokubali hawana amani, jiulize why masking their faces, kwann wasingejkiacha wazi kama wanaounga mkono iyo sheria?Baadhi ya waandamanaji waliounga mkono serikali kwa kuharamisha mapenzi ya jinsia moja
View attachment 174620
Source:BBC
Mimi sidinywi. Lakini kama wewe unapenda kudinywa sioni sababu kwa nini uzuiwe ile kitu ambayo roho yako penda.
Tigo si yako mwenye bana...sasa kama tigo ni yako wewe ukidinywa mimi inanihusu nini?
vp hivi obama ana mtoto wa kiume kweli
khaaaaaaaaaa....................you are spoiled fella
bad boy! hhahahahahahah
Haya sasa......misaada kurudishwa ug...
precisely fella!!Naah...but seriously....if somebody likes to get poked in the ass...what's that got to do with me? Nothing!
It ain't my ass that's getting impaled. So why should I trip about it?
To each his own, you know.
aaahhhhh I knew it ...teh teh teh
viongozi wenye jeuri kama wa south america baaaaadoooo sana africa
Umeona mkuu jamaa yetu wa Diaspora anavyoshadadia ushoga?? Mimi nina mashaka naye sana huyu jamaa!!Jaribu kuficha tabia yako....fanyeni huko huko gizani......
Museveni asingeweza kufuta hii sheria kwa shinikizo la wafadhiri moja kwa moja, ingekuwa ni aibu kwake. Sasa nadhani watasema ni mfumo wa sheria umeamua, sio shinikizo la wafadhiri. Kelele nyingi, mwishowe yanaishia hapa. Fedha ya wafadhiri tamu bwana.
Mie binafsi, japo sikubaliani na suala la ushoga, sielwei kwa nini viongozi wa Afrika wanalivalia njuga jambo hili, wakati kuna mambo mwengi tu ya maana zaidi ya ushoga ambayo tunayapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi na kuyatungia sheria kama ambavyo wamepigia kelele ushoga. Watu wamesimamie kidete ushoga utafikiri wameambiwa mashoga wanawataka wao au watalazimishwa kuwahudumia mashoga. Kama mtu anataka kuwa shoga ni juu yake, achana naye na isiwe kisa cha kugombana na wafadhiri bila sababu za maana.