Mkuu swala la msingi ni kwanini wamagharibi wanalishikia bango swala hilo hata wanatishia kunyima msaada??? hapo kuna nini? soma alama za nyakati.
Shetani sasa hivi anatoa makucha sana. Pia kwani mzungu tu ndo atufundishe jinsi ya kuishi? kwani yeye ni mungu? Mbona China hawafosi ki hivyo? kwanini watuonee waafrika? huo ni ushenzi haitakiwi uingizwe kwenye sheria ya nchi. Nchi inaundwa na watu wenye imani tofauti, hawa wote hakuna imani yao inayoruhusu vitu hivyo, sasa hiyo inayokuja ni ya Shetani kabisa. kuwa makini.
mimi sijakataa kuwa ushoga ni dhambi na ni kazi ya shetani. nakubaliana asilimia 100 kuwa tusikubali kabisa kuhalalisha ushoga. mie tatizo langu lipo kwenye ile kuonyesha double standards. kwa nini tunakemea sana ushoga na kutunga sheria dhidi ya hiyo dhambi lakini wakuu wa nchi hawalaani uzinzi na kutunga sheria dhidi ya hiyo dhambi? tukienda mbali sasa inafika wakati kuwa tunahalalisha uzinzi maana watu wanafunga ndoa wakiwa na mimba kabisa. hili ndio mie nalikataa. tuwe na msimamo mkali pia dhidi ya uzinzi nataka nione waku wa nchi wakisema kuwa sasa jamani yoyote anayehusika na uzinzi ni kufungwa.