Utawajua tuuView attachment 174702
ah wewe ata useme vipi kuweka picha hapo ni mbwembwe tuu....nipe points why guys should be inprisoned while fornicators shouldnt taking into account that both acts are deemed sins
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawajua tuuView attachment 174702
Kuna bwana mmoja ana imani museveni atarudisha hiyo sheria. Sina uhakika sana. Ila naona kama ame surrender na ili asionekane kawa coward na pilton wamemshauri aseme kulikuwa na matatizo ya kiufundi wakati wa kuunda sheria husika. Msilitazame swala la ushoga kwa juu juu tu,mkadhani wakiruhusiwa basi litaishia kwa hao wanaofanya mambo hayo tu. Kama alivyosema mchangiaji wa awali,hawa jamaa hawataishia hapo,watataka uwakilishi na recognition kwenye taasisi mbalimbali na equal representation hata bungeni. Itaenda itaingia mpaka kwenye familia ya kila mmoja wetu hapa, sasa usishangae baba ako analiwa kiboga,au mdogo wako wa kiume anamla kiboga kaka yake,au mjomba wako anamla kiboga mwanao wa kiume. Itakua toka ngazi ya kila familia mpaka taifa mpaka dunia yote. Wanawake wasaganaji nao watakuja na movements zao,pia itafikia mahala hata mkeo wa ndoa akijisikia kusagwa na wifi yake ambae ni dada ako hutakiwi kumbugudhi kwani atakushtaki,mwanao wa kike anaweza swaga hata na shangazi yake ambae ni dada ako. Ndugu zangu,mtakasirika? Mtawashtaki? Haitawezekana tena. Maana haki zao zitakuwa zimetapakaa kila mahari na hamtaruhusiwa kabisa kuwabugudhi. Think about that, tuzuie hili swala mapema kabla halijawa janga (samaki mkunje?............................). Hata kosa la incest kwenye Sexual Offences Act litafutwa. Tutakulana mpaka mwisho. Sex haitakuwa na nidhamu tena. Kumbuka too much of anything is harmful. Ikiwa ujinga huo utaruhusiwa basi mi nawasihi watu wa makundi mbali mbali ktk jamii nao kupaza sauti na kupigania haki zao, wakiwemo mateja,wavuta bangi,prostitutes (makahaba), etc....maana itakuwa inamaanisha kuwa kila mtu sasa anaweza kudai uhuru wa kufanya jambo analosikia linampa raha na kumnufaisha yeye binafsi. Sasa tuone mwisho wa hii Dunia.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ah wewe ata useme vipi kuweka picha hapo ni mbwembwe tuu....nipe points why guys should be inprisoned while fornicators shouldnt taking into account that both acts are deemed sins
Mzabzab you can't compare fornication with sodomy never on earth
Kaka juve endelea kutupa madini aise!!Ilianzia mbaali sana,pale binadamu alipoigeuza ngono toka kuwa kitendo cha wanandoa, kilicho maalum kwa reproduction hadi kuwa tendo la kutafuta starehe.From there,anything can be compromised in the name of starehe,na hii yote baba yake ni uhuru usio na mipaka,tunazungumzia ushoga hapa lakini halitaishia hapa,tutakwenda kwenye kila sekta muhimu ya welfare ya binadamu na kuanzisha mambo ya hatari for the sake of uhuru,uhuru usio na mipaka.Bila shaka wajanja mshaelewa who is behind all this shit.Ni yule yule bwana mkubwa aliyedai uhuru usio na mipaka mbinguni,ili na yeye awe kama Mungu.Akasambaza sumu hiyo pale Eden,naam,"mtakuwa kama miungu".Wajanja kasomeni historia enzi za dark ages,upagani ulipokuwa umeishika dunia kisawasawa,muone tamaduni hizi za ushoga na mambo mengine ya ajabu ajabu vilivyokuwa vitu vya kawaida kabisa.Kule kwa wagiriki,Rumi,Persia na kwingineko,watu hawakuweka mstari kati ya homo na hetero,all thata matters was sexual desire.Dini ziliposhika kasi duniani hizi mambo zikaenda underground.Leo hii ukiona watu wanayazungumza haya bila uoga,tena viongozi,uelewe kwamba tunarudi dark ages.niambieni wenyewe,leo hii mtu akizungumza mahubiri ya maadili mema,ni wangapi wanamsikiliza na kusisimka?hata kanisani na msikitini ukiongea haya waumini wanasinzia!Hili linashika kasi sambamba na mijadala ya kuhoji uwepo wa Mungu.Tumeishi miaka mingi na imani kwa huyu Mungu,leo hii tunatilia mashaka uwepo wake?kwenye tv,mashuleni,mitaani,na maeneo mengi,hoja hii ya uwepo au kutokuwepo Mungu imeshika kasi huku mmomonyoko wa maadili ukizidi na dunia ikizidi kuwa mateso kwa wakazi wake kama ilivyokuwa dark ages na hata zaidi!unganisha dots hapo,kama hujui kusoma angalia hata picha.Mkuu Yericko Nyerere nasikia wewe ni rastafarian bwana,kuna huu wimbo sijui unaujua?
"There's a natural mystic blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet,might as well be the last
Many more will have to suffer,many more will have to die
Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie...."
Museveni asingeweza kufuta hii sheria kwa shinikizo la wafadhiri moja kwa moja, ingekuwa ni aibu kwake. Sasa nadhani watasema ni mfumo wa sheria umeamua, sio shinikizo la wafadhiri. Kelele nyingi, mwishowe yanaishia hapa. Fedha ya wafadhiri tamu bwana.
Mie binafsi, japo sikubaliani na suala la ushoga, sielwei kwa nini viongozi wa Afrika wanalivalia njuga jambo hili, wakati kuna mambo mwengi tu ya maana zaidi ya ushoga ambayo tunayapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi na kuyatungia sheria kama ambavyo wamepigia kelele ushoga. Watu wamesimamie kidete ushoga utafikiri wameambiwa mashoga wanawataka wao au watalazimishwa kuwahudumia mashoga. Kama mtu anataka kuwa shoga ni juu yake, achana naye na isiwe kisa cha kugombana na wafadhiri bila sababu za maana.
issue is not comparison wewe....issue is that its a sin period. mnasema oh becoz wanaenda kinyume na maumbili na jinsi binadamu wanatakiwa kujamiana....but mbona watu siku hizi wanapenda blowjob. je hiyo sio kinyume na maumbile. mbona hao hamtaki kuwafunga?
mimi nakubaliana kabisa kuwa ushoga ni dhambi. unzinzi pia ni dhambi ambazo zote zinafanywa na wanadamu ambao lengo lao ni kuburudika. sasa kwa nini huku tutoa hukumu kali wakati upande wa pili tunachekelea na kuhushabikia? mimi kama serikali ingekuwa nasema kuwa tutatoa hukumu ile ile pande zote mbili nisingekuwa na tatizo lolote
Ahhhh Bhanunu Mungu anawapenda mashoga? Unapotea na Mawazo yako. Mashoga no laana.
Ilianzia mbaali sana,pale binadamu alipoigeuza ngono toka kuwa kitendo cha wanandoa, kilicho maalum kwa reproduction hadi kuwa tendo la kutafuta starehe.From there,anything can be compromised in the name of starehe,na hii yote baba yake ni uhuru usio na mipaka,tunazungumzia ushoga hapa lakini halitaishia hapa,tutakwenda kwenye kila sekta muhimu ya welfare ya binadamu na kuanzisha mambo ya hatari for the sake of uhuru,uhuru usio na mipaka.Bila shaka wajanja mshaelewa who is behind all this shit.Ni yule yule bwana mkubwa aliyedai uhuru usio na mipaka mbinguni,ili na yeye awe kama Mungu.Akasambaza sumu hiyo pale Eden,naam,"mtakuwa kama miungu".Wajanja kasomeni historia enzi za dark ages,upagani ulipokuwa umeishika dunia kisawasawa,muone tamaduni hizi za ushoga na mambo mengine ya ajabu ajabu vilivyokuwa vitu vya kawaida kabisa.Kule kwa wagiriki,Rumi,Persia na kwingineko,watu hawakuweka mstari kati ya homo na hetero,all thata matters was sexual desire.Dini ziliposhika kasi duniani hizi mambo zikaenda underground.Leo hii ukiona watu wanayazungumza haya bila uoga,tena viongozi,uelewe kwamba tunarudi dark ages.niambieni wenyewe,leo hii mtu akizungumza mahubiri ya maadili mema,ni wangapi wanamsikiliza na kusisimka?hata kanisani na msikitini ukiongea haya waumini wanasinzia!Hili linashika kasi sambamba na mijadala ya kuhoji uwepo wa Mungu.Tumeishi miaka mingi na imani kwa huyu Mungu,leo hii tunatilia mashaka uwepo wake?kwenye tv,mashuleni,mitaani,na maeneo mengi,hoja hii ya uwepo au kutokuwepo Mungu imeshika kasi huku mmomonyoko wa maadili ukizidi na dunia ikizidi kuwa mateso kwa wakazi wake kama ilivyokuwa dark ages na hata zaidi!unganisha dots hapo,kama hujui kusoma angalia hata picha.Mkuu Yericko Nyerere nasikia wewe ni rastafarian bwana,kuna huu wimbo sijui unaujua?
"There's a natural mystic blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet,might as well be the last
Many more will have to suffer,many more will have to die
Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie...."