HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Samahani kama nitakuwa nimekukosea, nilichojaribu kusema ni uhuru wa binaadamu, binaadamu wagumu sana kuingiliwa katika uhuru wao. Kama ni mwanangu wa kike nitajua namna ya kucheza nae, lakini kwa mtu wa nje ambaye ana akili zake timamu siwezi kumuingilia uhuru wake.Acha ujinga wako hapa, jitahidi siku zingine mtu kuuficha ujinga wako usiuweke hadharani, hizo nguo za kulalia watu ndo wamefanya za kutembelea, nguo za CLUB za usiku ndo zimekuwa za kutokea, sema wewe ni limbukeni na haya mambo umeyaanza ukubwani ndio maana unaona raha. sasa nakwambia haya mavazi ni sawa na uchafu yanatia kinyaa kama vile mtu analamba usaha wa kidonda ndugu
Samahani sana kama nitakuwa nimekuudhi
