Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Ningefurahi sana ingetungwa hata hapa kwetu kwa7bu wamezid hawa. Wanatufanya kila siku tupange bajeti ya gest. Nyamaaf
 
Sawa wacha nikubaliane na wewe! VIMINI VINACHANGIA MAAMBUKIZI YA UKIMWI!

UKIMWI unaanzia mwilini mwako na kuishia mwilini mwako humo humo, huwezi kumwambukiza mwingine wala mwingine yeyote hawezi kukuambukiza wewe UKIMWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…