Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Kweli East Africa na mitazamo tofauti .. juzi mukulu alipoulizwa na amanpour wa BBC kuhusu kuwapa mashoga haki zao , prezda akasema "it will take a long time" ..... sipati picha museven au mugabe angetoa jibu gani kama si kupiga teke camera za BBC "haa haaa am joking "
 
ukweli Yoweli anamsimamo mzuri wa maadili,na hili pia safi sana.
 
Kwa anaye fahamu ug hilo ni gumu sana kulifanyia kazi... au kutekelezeka labda la ushoga...
 
Ama kweli Miafrika ni mijitu mijinga na mipumbavu sana!!!
8: تكلمني متى م فضيت ؟ ارد عليك متى م بغيت..
 
8: تكلمني متى م فضيت ؟ ارد عليك متى م بغيت..

ويش فيك اخوي؟
 
wanawaa mwalim wao nikipofu aisee.hakuna mwanaume anayependa au kufurahia akimwona mkewe kavaa kishenzi nusu uchi au nguo za kutamanisha au zakingono ngono.

ndio maana wanawake wengi sasa hivi wamekuwa wakitumika tuu kama kifaa wamekosa heshima kabisaa haweheshimiwi na wansume coz wao ndio mstari wa mbele kujidharirisha.
 
Rais Yoweri Kaguta Mseveni wa Uganda ameusaini mswada wa sheria ambayo pamoja na mambo mengine inakataza ushoga, inakataza wanawake kuvaa nguo zinazobana, fupi juu ya Magoti na zinazoonesha kifua wazi na mavazi yote yatakayomfanya mtu wa jinsia nyingine kuwa na mhemuko wa mapenzi.

Mytake: Hapa kwetu tz napo inatufaa sana.
 
^^
Kuna nchi zina marais wenye kuthamini haiba yenye stara
^^
 
Back
Top Bottom