Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Tetetee!Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetetee!Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Aridhi na bahari, pembeHivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Watoto na wajukuu zetu watakuja kutulaumu kwa maamuzi mabovu yanayofanyika leoNafikiri kungekuwa na kuweka Bond Magu angetuambua tu kuwa eti wanataka airport ila ugumu wa pale ni kuwa kutoemdeleza Bandari nyingine alafu wakishachukua lile eneo ndiyo basi ni lao hupaswi kuwauliza wanaweka nini wala nani kaja pale, suala la usalama ni lao na suala wanafanya nini nje na Bandari huruhusiwi zaidi utaletewa report tu kuwa mwaka huu tumepata hasara ya billion 90 huku ukisubiri siku wapate faida ndo wakupe gawio.
Bora mabeberu wata tunza mazingira wata tulipa mishaara mizur ata wakija kutuachia bandari itakuwa kwenye uboraHafu watawala wa africa hujipendekeza kwa nchi kisa hawakemei udictator ona sasa yanayotokea Uganda, na tanzania tujifunze hyo bandari ya bagamoyo
Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Hivi sisi kwenye bandari ya bagamoyo tunaweka bondi kitu gani?
Ujumbe huu aupate andujne kiongozi wa mazuzu! Yaani alipelekwa china akaoneshwa mapichapicha mgogo huyu akaingia mzima mzima!Hii miradi ya Wachina ipo kama karata tatu au chambo kwa samaki, mtu ukiingia tu kwenye 18 zao umeliwa !!🤣🤣.
Wachina ni wachawi. Uchawi wao kwa waafrika hutuponagi.
Kama ni hivyo sawa wake wenyewe hawa tunatafuta pa kuwauza hatupaoni.Pale bond itakuwa wake zenu tu [emoji28] watakuja kuchukuliwa na wachina kibabe [emoji28]
hii ni wazi watu weusi uwezo wetu ni mdogo sana.