Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

Kuna kitu kinitwa debt trap

hapa kuna tsh 21 trillion inalipwaje hii???wakati bajeti tu huwa ni 18trillion na huwa inatajwa 33trillion[emoji16][emoji16]

naskia uchimbaji wa gesi uwekezaji ni 70trillion,na deal linanyemelewa kwa kasi muda wowote ngoma inamalizwa mezani.

nina imani 1000% huyu mama hana sauti,kuna genge lenye tamaa na kiu kavu limeshapora udhibiti wake.
 
Tunauhitaji mradi wa Bagamoyo kweli kweli maana hatukopi Kwa mradi huu Bali ni aina ya ubia mahususi,wenye muda maalumu.
 
Waafrika huwa hatujifunzi...@$$() countries
 
Pale atauzwa mtu sio kitoto
Walishavumisha sri lanka port imekamatwa kwa deni wakati ilikua ni investment na sio mkopo
Hata bagamoyo siyo mkopo,, hatuoewi mkopo bali hiyo ni investment ya partinership watatu,, Tanzania china na oman,,
Tanzania wametoa plot,, china yawe kuwa wametoa fund na technology , oman pia ni fund na tech
 
Nafikiri kungekuwa na kuweka Bond Magu angetuambua tu kuwa eti wanataka airport ila ugumu wa pale ni kuwa kutoemdeleza Bandari nyingine alafu wakishachukua lile eneo ndiyo basi ni lao hupaswi kuwauliza wanaweka nini wala nani kaja pale, suala la usalama ni lao na suala wanafanya nini nje na Bandari huruhusiwi zaidi utaletewa report tu kuwa mwaka huu tumepata hasara ya billion 90 huku ukisubiri siku wapate faida ndo wakupe gawio.
Bandari hiyo ni full package, inakuja na special economic zone, patakuwa na viwanda na pia maduka technology hub, etc
 
Watoto na wajukuu zetu watakuja kutulaumu kwa maamuzi mabovu yanayofanyika leo
Nasikia zambia imetaifishagwa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],yaani haina chochote kwa sasa[emoji847][emoji847]
 
Bora mabeberu wata tunza mazingira wata tulipa mishaara mizur ata wakija kutuachia bandari itakuwa kwenye ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu Wana utu na huwa wanaheshimu haki za watu ila Hawa viumbe wenye macho madogo swala la utu, na utunzaji mazingira limewapita kushoto na wakikuajiri unakuwa cheap labour na hawaheshimu mikataba ya kazi
 
bilioni 450tsh zimewatoa kamasi waganda,sisi ni trillion 21,wengine tulipokuwa tunalia kifo cha magufuli tulionekana kana kwamba tunalilia ulaji kukatika,sijui ulaji gani ulikuwepo awamu ya 5[emoji17][emoji17]
Kwa mawazo yako uganda haina tsh bilioni 500?,, Huo si sawa na utajiri wa Rostam aziz tu?, Kwa mawazo yako unataka kusema nchi kama uganda haina hiyo hela?
 
Nasikia zambia imetaifishagwa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],yaani haina chochote kwa sasa[emoji847][emoji847]
Dah inasikitisha sana Hawa wachina sio wakuchekea heri ya mabeberu weupe Wana kautu flani wachina sera zao kama za kikoloni. Africa tusipogutuka tutaurudisha ukoloni wa kichina
 
Walishavumisha sri lanka port imekamatwa kwa deni wakati ilikua ni investment na sio mkopo
Hata bagamoyo siyo mkopo,, hatuoewi mkopo bali hiyo ni investment ya partinership watatu,, Tanzania china na oman,,
Tanzania wametoa plot,, china yawe kuwa wametoa fund na technology , oman pia ni fund na tech
Tanzania inatakiwa kulipa compasation ya hela itakayotumiwa na China kuchimba bandari ya bagamoyo.

We hujiulizi kwa nini China wanaitaka sana hiyo bandari kuliko sisi tunavyoitaka? Wachina wako tayari kuuwa kiongozi yoyote anayepinga bandari hiyo.
 
Mabeberu Wana utu na huwa wanaheshimu haki za watu ila Hawa viumbe wenye macho madogo swala la utu, na utunzaji mazingira limewapita kushoto na wakikuajiri unakuwa cheap labour na hawaheshimu mikataba ya kazi
Tatizo la viongozi tuliona ni kizazi cha giza ambacho hakija wai kuishi na kufanya kazi na jamii za kimataifa kwaiyo hizi jamii wame kutananazo ukubwani kwenye vikao hawazijui Tabia za Wachina kama wezi wa vitu vidogo vidogo na ni masikini Sanaa, mara Mia mabeberu Wana hutu ata wakizaa na mswahili wanajua jinsi ya kutoa Huduma hata kama hajamuoa mwanamke, Yan wachini ni watu wabaya Sanaa sijui viongoz wa Africa Wana wapendea nini hawa viumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom