Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

mimi sijui,ila sijui pia kwanini wameachia asset nyeti kama uwanja wao wa ndege.
Lazima kuna explanation , mfano issue ya srilanka , kumbe serikali ya sri lanka ndio ilukodisha ile bandari ili wapate fedha kufanyia issue zingine wakapokea hela in lumpsum in exchange wakawachia china wasimamie hiyo bandari kwa kipindi fulani hadi wajilipe pesa yao ni pure business
 
Wasipopata faidi ndani ya kipindi husika mtalazimka kuwa fidia investment cost zao au kama vip muongezea tena miaka 40. yaani mtu huna control naye anafsnya anavyotaka bila kumwingilia hakuna hata siku moja atasema amepata faida
Rais wa hii nchi ana mamlaka ya kutaifisha kitu chochote kile
 

unahisi sisi tuna mikakati tofauti na sri lanka??

unajuaje hapo kwenye 21tr??kama ni 12 tu ndio zinafanya kazi iliyokusudiwa!!!
 
kwa sababu ya mkopo??
Mipango ya kibiashara,, mfano wewe ujenge gest, halafu uone mambo hayaendi unakodisha kwa mda fulani unaluowa hela yako kufanyia issue zingine, ama unakodi management ya kurun hiyo gest,
Pure business
 

kuna kuwa juu kuning'inia na kuwa juu kunyanyuka kutoka hali duni.
 
Mipango ya kibiashara,, mfano wewe ujenge gest, halafu uone mambo hayaendi unakodisha kwa mda fulani unaluowa hela yako kufanyia issue zingine, ama unakodi management ya kurun hiyo gest,
Pure business

sasa yupi kati ya tz,uganda,zimbabwe,ama sri lanka alifanya hayo ya israel??
 
sasa yupi kati ya tz,uganda,zimbabwe,ama sri lanka alifanya hayo ya israel??
Haya Tangu usikie zimbabwe sijui zambia wameshikiwa bandari zao. Which is pure propaganda,, wazambia na wazimbabwe wangapi wamekufa?, Chumi za hizo nchi vipi zimekufa? Wazambia wanakufa njaa na wanakimbia nchi yao, inshort kitu gani negative kimetokea?
Tatizo la wabongo reasoning ni almost zero
 
kwa nini mseven asingetuma wale askari wake waliokuwa wakipambana na akina Bob Wine
 
sasa yupi kati ya tz,uganda,zimbabwe,ama sri lanka alifanya hayo ya israel??
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,
Jamani tuwage tunaresearch kwanza vitu badala ya lawama tu, tunajichelewesha
[emoji116]
 

Tupe maoni kuhusu uwanja wa ndege wa Entebe hapo uganda uliochukuliwa na china
 
Haya mchina alijenga port ya haifa israel na ameachia kuirun for 25 years, pamoja na US kupiga vita mchina asiendeshe hiyo bandari,,
Jamani tuwage tunaresearch kwanza vitu badala ya lawama tu, tunajichelewesha
[emoji116]
View attachment 2024441

Sio kweli mzee ni just a Termianal sio Port. Ni sawa na sisi watanzania serikali itangaze tenda ya kuanzisha terminal mpya bamdari ya dar es salaam alafu kampuni ya china ishinde. Ni kisehemu tuu cha bandari ndio ambacho china wanakiongoza chini ya usimamizi wa israel.

Israel on Wednesday officially inaugurated a new port terminal in Haifa Bay, the first of two recently built private port terminals that are expected to fuel competition, decrease import costs, and present a boon for the Israeli economy. Almost all of Israel’s international trade is handled via maritime routes and the Haifa port is the busiest shipping hub in the country, managing approximately half of all freight.

China’s state-owned Shanghai International Port Group (SIPG) won the tender in 2015 to operate the commercial shipping facility for 25 years, an arrangement that stoked controversy in Israel and abroad. The project’s proximity to Israel’s submarines, among other issues, raised security concerns, especially after reports revealed that neither the cabinet nor the National Security Council had any input on the deal. The project also raised the ire of the US, which sometimes docks military vessels in Haifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…