Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafanya nini na analea Mali ya Baba yake.Ila huyu CDF wa Uganda huwa ni kichwani ana papai, anapenda vita lakini hajui gharama, amekulia ushuani kudeka kwa wingi lakini ni mlaini tu, usikute hata kwake akikosa blue band basi hata mkate hali... akikosa tomato chips hali.. ni mpumbavu tu.. lakini kwa kupiga domo hajambo...
Kagame kaingia direct na museveni... Yani wameota mapembe now hawajifichi hadi huyo muhoozi anatangaza hadharani kuchukua kipande cha nchi nyingine. Kwanza sijui hii jumuiya ya Afrika Mashariki ina maana gani kama inashindwa kutatua migogoro na kuwajibishana.
Hakuna. Tanzania ilikuwa awamu zilizopita kwa sasa nayo nadhani imepoteza ushawishi wa masuala ya diplomasia.Kati nchi wanachama wa EAC unadhani nchi au Raisi gani ana uwezo wa kuwaongoza wenzake kutatua migogoro inayojitokeza?
..Tanzania
..Kenya.
..Uganda.
..Burundi.
..Rwanda.
..Somalia.
..South Sudan.
..DRC.