Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Kuna watu akili zao zinafanya kazi upande mmoja wakikariri vitu hubaki hivo mpaka mwisho wa dahari. Kitendo cha huyo rais wa congo kualika nchi kuja kupigania nchini kwako lilikuwa kosa kubwa na kwa sasa vita ilipofikia madhara yatakuwa makubwa kuliko yaliyowahi kutokea congo. Majirani lazima walinde mipaka yao kabla mambo hayajaharibika. EAC japo aliona hawana msaada but at least hata kama madhara yasinge epukika ila isingekuwa kama ilivyo sasa. Anaacha kuwalipa wanajeshi wa congo anaenda kuwalipa Burundi, SA mpaka wazungu hiyo sio akili hata kidogo.